Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Akili yako ni ndogo kama punje ya haradali
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

We mnuka mkojo unajua nini?
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
kikwete atalipa! Siku yake yaja! Katutengenezea nchi ya hovyo sana huyu mtu!
 
Polepole alikuwa mtu wa ndani, alikuwa na access ya kujua ya 'jikoni' zaidi yako chawa mara mia. Kati ya kukuamini wewe chawa wa Bi Urojo na kumuamini Polepole nachagua kumuamini Polepole.
He is lying for sure; baada ya lile fataki la Ruangwa mzee was never the same again... na pia Covid iliondoa wengi kwenye circle kuanzia Maalim seif, kijazi, Mahiga - na wengine waliponea chupuchupu.... Mataita wengi pia mjini walikata motoo kipindi cha Covid kwa kuwa wengi huwa ni wagonjwa....
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Daktari wa mchongo ulimpima ukathibitisha?
 
Mshaanza kunena kwa lugha, Wajinga nyie!
 
Chawa wenzako wananunua Rolls Royce wewe unapewa buku 7 tu unakuja kujaza uzi zisizokuwa na kichwa wala miguu
Shingo yake inateseka bure kubeba mzigo usio na faida!
 
YAANI KUNA WAKUAJI WA UJINGA😀😀😀

Unabishana na myu aliekuwa kwenye system husika,unaonekana mpumbavu tu
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Tumsifu Yesu Kristu.
 
Back
Top Bottom