Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Ameamua kujiacha uchi wa mnyama
 
Wewe na polepole ni nani alikuwa karibu na magufuli?
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Tukuamini wewe mjinga?
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Lucas katika id nyingine japo unaweza kuwa siyo Lucas
 
He is lying for sure; baada ya lile fataki la Ruangwa mzee was never the same again... na pia Covid iliondoa wengi kwenye circle kuanzia Maalim seif, kijazi, Mahiga - na wengine waliponea chupuchupu.... Mataita wengi pia mjini walikata motoo kipindi cha Covid kwa kuwa wengi huwa ni wagonjwa....
Polepole is spitting the truth, any sensible person can see that. Watajitokeza chawa with fabricated blah blahs kujaribu kuwasafisha majambazi na wauaji hawa wanaoipelekesha nchi nginjangija but it's too late.
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.

Wewe ulikuwa naye Chato? Anachofanya ni kile ambacho watu wengi walikuwa na shaka nacho.

Muda mwalimu mzuri. Na acha aongee ili sisi wengine tusikie pande zote. Halafu muda utaamua nani mkweli na nani muongo
 
Wewe Chiembe ni bora ukanyamaza tu. Unaonekana bado ni mtoto mchanga kwa Polepole, kwenye mambo ya ndani ya chama na serikali.
Ungekuwa umesoma ningekubali ushauri wako
 
Polepole is spitting the truth, any sensible person can see that. Watajitokeza chawa with fabricated blah blahs kujaribu kuwasafisha majambazi na wauaji hawa wanaoipelekesha nchi nginjangija but it's too late.
too many stories; bahati mbaya wanaojiita sensible persons wengi hapa kwetu sio sensible; hawawezi kuhoji wanavyovipenda au wanavypenda kuvisikia... too bad. Mtu eeasonable hawezi kuamini ujinga huu, it is as if the presidents never die...tunataka kufanya kifo ni cha kundi fulani tu... Mwamba aliondoka, alitimiza wajibu wake na tumuache aendelee kupumzika..
 
Acheni hizi mambo; JPM hata kampeni za 2020 hakufanya vizuri, TAL alikuwa akitania kuwa trip shamba trip garage... hata kwenye msiba wa Mkapa, JPM alikuwa too down kule Masasi... the Master was sick na kulikuwa hakuna namna... ni kama hatuamini kama Rais anaweza kufia madarakani.... tukubali tu na tusonge mbele
Kina Samia, Mkwere, Rostam na wenzao wameshirikiana kumuua Jiwe, whether he was fragile or not the fact kwamba walimuua can't change.
 
JPM tangu anatoka Chato alikuwa ameshafahamu tatizo lake ni gumu. Even stand ya Magufuli mbezi ilifunguliwa harakaharaka kabla haijakamilika ili walau jina lake lisomeke hapo. Stendi ilikuwa haijaisha.
 
Back
Top Bottom