Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
Inawezekana yule mpuliziaji alijikinga kabla wewe mjamaa inaonekana shuleni ulikua unakariri, samahani lakini!!
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Polepole yupo sahihi, Waujai wa Dkt Magufuli walitaka kumuua akiwa Ikulu Dodoma akaambiwa siyo salama akaamua kufungasha kwenda Chato ili nyumba yake isafishwe ila kakaa baadaye akaona bora arudi apambane na ndiyo akina wakamuua
 
So your water tight argument Polepole kaamua kupitana hiyo topic ya kuuawa kwa kuona anapoteza relevance? Mtu anayeishi spana mkononi hawezi kuuawa au akiuwa ni sawa kwa kuwa yuko kwenye edge anyway?
Mpaka pale mtu atakapompinga Polepole kwa facts kuwa Jiwe alikufa natural death nitaendelea kuamini kuwa timu ya kina JK, Rostam, Samia na wenzao walimuua Magu kwa kuwa ndiyo wanufaika wakubwa wa kifo chake.
Ni kweli kabisaa kipindi cha Magu hawa walikua kimya lakini sasa hv wamechipua kama nyasi zinazoota baada ya msitu kuchomwa moto!!!
 
Nyakati ni hakimu mzuri sana...kipindi hicho mnulizwa yule muuaji yuko wapi mlisema tunauliza uliza ili iweje?🙄Leo mnakuja mbio mbio kutusimulia hatua kwa hatua tulichokua tunauliza kuhusu jini letu like kisa kujieleza🤣🤣🤣🤣🤣🤣oneni kenge zisizojitambua hizi😳
 
He is lying for sure; baada ya lile fataki la Ruangwa mzee was never the same again... na pia Covid iliondoa wengi kwenye circle kuanzia Maalim seif, kijazi, Mahiga - na wengine waliponea chupuchupu.... Mataita wengi pia mjini walikata motoo kipindi cha Covid kwa kuwa wengi huwa ni wagonjwa....
Baada ya hapo covid ikaisha hao wote wake zao wapo covid yalikua mafua tafuteni uongo mwingine
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Swali fikirishi je unakumbuka wakati wa uzinduzi wa kiwanda morogoro mic ziliwekwa nje halafu zilibadilishwa angalia kilichotekea kwenye zile mic kwenye zoezi lile

I also smelled a rat
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Kaka wewe ni Polepole kama sie nawaza imekuwaje ukaujibu huu uzi kwa nafasi ya Humprey. 🤔

Ila shalom kaka kwa unyenyekevu 🙏🏾
 
Acheni hizi mambo; JPM hata kampeni za 2020 hakufanya vizuri, TAL alikuwa akitania kuwa trip shamba trip garage... hata kwenye msiba wa Mkapa, JPM alikuwa too down kule Masasi... the Master was sick na kulikuwa hakuna namna... ni kama hatuamini kama Rais anaweza kufia madarakani.... tukubali tu na tusonge mbele

..kwenye msiba wa Mkapa Jpm alikuwa na tatizo gani?

..maana alichelewa sana msibani mpaka watu wakaanza kujiuliza kulikoni.

..Na Jpm alisafiri kwa ndege siku moja kabla ya msiba.
 
Mkuu,

Mimi wewe sikubaliani nawe kwenye mengi, lakini katika hizi habari za Magufuli kauawa inabidi tuhoji sana.

Magufuli anajulikana ana matatizo ya moyo miaka mingi sana. Kuna mpaka magazeti ya alivyokuwa Chuo Kikuu Dar es salaam wanafunzi walimchangia aende Uingereza kusoma na kupata matiba u ya moyo. Ikajulikana kiwa amewekewa kifaa cha kuusaidia moyo wake.

Pia Magufuki alikuwa hataki habari za chanjo wala barakoa.

Tayari huyu mtu alikuwa ana risk factor ya moyo, halafu hataki chanjo wala barakoa.

Watu wake wa karibu wakaanza kufariki sana kina Kijazi na wengine.

Sasa huyu mtu angepata ugonjwa uliokuwa unaenea tu akafariki kwa ugonjwa na hususan kwa sababu alikuwa na risk factor kubwa, kuna cha ajabu kipi hapo?

Kwa nini tunataka sana kuweka conspiracy theory Magufuli kauawa wakati alikuwa ana risk factor na hakupenda chanjo wala barakoa?

Kuna makosa serikali imefanya kutofanya post mortem ya wazi na ku release matokeo, na hii inasababisha stories zote ziwezekane kuenea.

Lakini je, tunajihakikishiaje Magufuli hajafa kwa ugonjwa tu kwa ukaidi wake na risk factor yake?
Je kama walitumia lile Gazeti kualalisha uhuni wao?
 
..kwenye msiba wa Mkapa Jpm alikuwa na tatizo gani?

..maana alichelewa sana msibani mpaka watu wakaanza kujiuliza kulikoni.

..Na Jpm alisafiri kwa ndege siku moja kabla ya msiba.
Ewaaaaa....Haya ndio maswali ya kujiulizaaa
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Hata wewe haujui kitu,,,,
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete

Cc: polepole wa jeiefu
 
Baada ya hapo covid ikaisha hao wote wake zao wapo covid yalikua mafua tafuteni uongo mwingine
Kijazi nae alipewa sumu? Vipi maaalim seif, vipi mahiga??? Mkuu Polepole asituone sisi ni wajinga... kama wanamtandao walihusika kwann inaonekana Mama Samia hakuwa anajua chochote kwa yale maelezo ya Mabeyo??? Je zile pesa zilizokwapuliwa kipindi cha kuuguza zilikwapuliwa na nani??? Sema serikali imeamua sana kuwa na busara ila kuna watu wengi wangelia ndio maaana wanakuwa phased out polepole
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Vipi wale wasaidizi wake karibuni 3 walifarikia almost the same time kama JPM, mfano Kijazi, kuna yule katibu mkuu wa ikulu...nao ni Rostam?

Kwanini hayati JPM alikuwa akitumia feni ktk kampeni za 2020?
 
Back
Top Bottom