Polepole anapotosha sana, Magufuli wakati akiwa Chato, tayari alikuwa hayupo sawa kiafya

Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Lazima makamasi yaje
 
Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
Wewe mtu wa hovyo.
Mbona inajulikana kote duniani unaweza kutengeneza sumu na antidote yake?
Vipi kama Rosta-am alikuwa na Kinga au tiba yake?
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Mkuu hata kabla hawajawa Rais alikuwa mgonjwa, hayo unayoisema ni utetezi ndesi!!!

Ndugu chi'embe Hakuna aliye kuzuia weye kutafuta relevancy!!
 
Pia Magufuli alikuwa hataki habari za chanjo wala barakoa.
Matundu kwenye barakoa (surgical masks) yana upana kati ya 300-500 µm, wakati kirusi cha corona kina diameter kati ya 60-140 nm. Kwenye hizo namba hapo, mask itazuiaje corona?
hataki chanjo wala barakoa.
Kama chanjo ilisaidia kuzuia corona, kwanini watu walipata corona hata baada ya kuchanja zaidi ya mara tatu?
 
Nilikuwa ndani ya ukumbi, nikaenda mpaka Karagwe, na siku hiyo alilala kwenye shamba lake huko Karagwe.

Rostam atembee na bakuli la sumu na usalama wamejaa? Halafu hiyo sumu isimuue Rostam imuue aliyepuliziwa aliyepuliza abaki salama? Yaani upulize sumu mbele ya umati wote?
Wewe umeambiwa walipuliza sumu??Au unajua ni njia gani walifanya???Msijipe umuhimu kwa vitu ambavyo wote hatuvijui..SISI cha kufanya tununue popcorn tu tukae pale wataibuka wenyewe..Kwani Polepole si kajileta mwenyewe na kuanza kuongea....wataongea wengi:Wataibuka wote..na ipo siku hata hawa wanaoteka watu na kuwapoteza wataanza kujulikana
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
MACHOKO mnazidi kuongezeka nchini
 
too many stories; bahati mbaya wanaojiita sensible persons wengi hapa kwetu sio sensible; hawawezi kuhoji wanavyovipenda au wanavypenda kuvisikia... too bad. Mtu eeasonable hawezi kuamini ujinga huu, it is as if the presidents never die...tunataka kufanya kifo ni cha kundi fulani tu... Mwamba aliondoka, alitimiza wajibu wake na tumuache aendelee kupumzika..
A man hears what he wants to hear and disregards the rest. Paul Simon
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Hivi ukikaa kimya hutaonekana wa muhimu Kwa Mwajiri wako? Hata useme nini huwezi kubadili chochote Kwa ID fake wakati unayemboshia anajulikana kwa Kila Mtu na anaamimika kutokana na ukaribu wake na tukio.
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Kumbe mlikuwa mnamfuatilia ili mumuue vizuri?
 
Magufuli was a walking cadaver due to cross cutting multiple diseases he was struggling with, like HIV, Diabetes and Herpes Zoster. Based on this underlying health situation, COVID-19 erased him easily because he defaulted on the pandemic protection protocols like usage of mask and declined vaccination. Also remember he had a worn out pacemaker installed in 1992.

Mbona Mathias Chokawe alificha faili la afya yake mwaka 2015, ambapo TISS walisema ana afya mgogoro!!
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Copy of CCM BANNERS OFFICIAL _20250829_215806_0000.png

ILANI 2025
Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

Kuandaa mkakati wa matumizi ya teknolojia mpya (AI, roboti, blockchain, setilaiti).

Kupanua matumizi ya TEHAMA kwa wananchi vijijini na mijini.

Kuanzisha na kurusha satelaiti za mawasiliano na utafiti.
#kazinaututunasongambele
 
Acha upuuzi wewe mi ni mtu ambaye sikumpenda JPM Ila ukweli naujua wote acha mambo Yako wewe

Aliuwawa na Rostamu kwa kuupulizia sumu mtambo morogoro kwa maelekezo ya Kikwete
Wana mtandao wa jk sio watu wazuri kabisa.
 
Pole pole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono.

Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika ziara hiyo akiwa Bukoba secondary alionekana dhahiri ana tatizo, na hata sura yake ilianza kuwa nyeupe. Kila mara daktari wake alikuwa anawasiliana na mtu, na baada ya mawasiliano daktari alimpelekea JPM glass ya maji ambayo inaonekana ilikuwa inawekewa kitu maalum.

Ziara ilimpeleka mpaka Karagwe ambako alizindua kiwanda cha maziwa na pia alizindua majengo ya shule nadhani ni Ihungo au nyakato.

Ulinzi ulikuwa mkali sana ukiambatana na helkopta na askari wengi sana. Ukaguzi wa hali ya juu. Nashangaa pole pole anasema eti Rais alidhuriwa wakati kabla ya ziara, wiki zaidi ya moja vikosi vya ikulu vinakuwa vimefanya analysis.

Pole pole anatafuta relevancy ya kisiasa kwa kusema uongo hadharani.
Rubbish.
 
Huyo nguchiro ajue hii nchi si ya wafu, hatujadili habari za wafu. Lingine km Rais mwenye kila aina ya ulinzi anaweza kuuawa basi hakuna aliye salama. Ht hivyo hasa ni nani amemwua, na hiyo ina faida gani kwa sasa. Km kwl aliuawa akiwa Rais basi hakustahili kuwa Rais. Huyo mbwa anajaribu kutaka kujenga mazingira ya uasi, chuki kwa serikali ila kwa Tanzania hatafanikiwa huyo mbwa koko. Anachofanya ni kutunga uzushi na uwongo akiwa chumbani. Ni mtu mshamba, mpumbavu aliyechanganyikiwa na mwisho wake ni mbaya. Ataburudisha wapumbavu tuliowazoea wanaokesha na kushinda humu mitandaoni ambao hawazidi 5% na si wapiga kura.
 
Matundu kwenye barakoa (surgical masks) yana upana kati ya 300-500 µm, wakati kirusi cha corona kina diameter kati ya 60-140 nm. Kwenye hizo namba hapo, mask itazuiaje corona?

Kama chanjo ilisaidia kuzuia corona, kwanini watu walipata corona hata baada ya kuchanja zaidi ya mara tatu?
Kuna hoja yenye makosa kwamba barakoa haziwezi kuzuia usambaaji wa virusi kwa sababu matundu ya barakoa ni makubwa kuliko virusi.

Hoja hii inatokana na kufikiri kwamba virusi vinasambaa kwa kuelea hewani kirusi kimoja kimoja. Hivi si virusi vinavyoelea. Virusi vinaenea kwa kuwa katika kitu kikubwa zaidi kama droplets mtu anapokohoa. Droplets hizo ni kubwa kuliko hayo matobo ya barakoa na zikizuiwa , virusi vinazuiwa.

Kwenye chanjo, hilo si suala la chanjo kuzuia au kutozuia, si suala la binary, ni suala la kupunguza uwezekano wa kuumwa kwa sababu una chanzo, suala la efficacy, suala la asilimia. Ukiambiwa chanjo ina efficacy ya 80% maana yake si kwamba ukichanja hutapata ugonjwa, maana yake ni kwamba ukichanja unapunguza chancws za kupata ugonjwa kwa 80%, maana yake bado una chance ya kupata ugonjwa kwa 20%.

Na ukichanjwa, kwa mfano umechanjwa chanjo ya efficacy ya 80%, halafu ukapata ugonjwa, ugonjwa unaweza usikusumbue sana kwa sababu mwili wako ushajua kupambana nao kwa asilimia 80 unapunguza hata makali ya ugonjwa
 
Back
Top Bottom