Smart Dude
JF-Expert Member
- Sep 23, 2023
- 553
- 644
Obvious, HP ameamua kupita na upepo wa JPM - kumbuka kumekuwa na mfululizo wa arguments kuwa HP atuambie kuhusu kifo cha JPM na aongelee swala la TAL? Hivi karibuni amejitutumua kuhusu TAL.. story zingine zaidi ya hizo haziuzi (nimerefer story ya RA na makaa ya mawe au Almasi y Mwadui) It never sold...So your water tight argument Polepole kaamua kupitana hiyo topic ya kuuawa kwa kuona anapoteza relevance? Mtu anayeishi spana mkononi hawezi kuuawa au akiuwa ni sawa kwa kuwa yuko kwenye edge anyway?
Mpaka pale mtu atakapompinga Polepole kwa facts kuwa Jiwe alikufa natural death nitaendelea kuamini kuwa timu ya kina JK, Rostam, Samia na wenzao walimuua Magu kwa kuwa ndiyo wanufaika wakubwa wa kifo chake.
Sasa kifo cha JPM kina consipirancy kibao lakini ni kwa sababu afya yake ilikuwa na usiri mkubwa kipindi chote akiwa madarakani.. kigogo alitoa tetesi mara kadhaa kabla ya hii ya kweli lakini mwamba akawa anaibuka. Campign za 2020, hakuzunguka kivile, na baadhi ya mikutano iliahirishwa...wakati wa mazishi ya kijazi the Boss was too down na alionekana kama ni mgonjwa pia.. kwenye msiba wa BWM pia ukiangalia alionekana kuwa na shida...
Ninadhani muhimu zaidi ni viongozi wawe wazi na afya zao ili kuondoa hizi loop holes.. JK alivyoumwa tezi dume alisema na angekufa wote tungejua imemwondoa na kusingekuwa na shida... hivi majuzi VP alipotea muda mrefu alivyojuja kuibuka tukaambiwa tu alitumwa na mkubwa...sio sawa, angekufa ndio zingeanza kuja habari za namna hii.