#COVID19 Polepole ataka kiwanda cha dawa za mimea kupambana na Corona, aomba kikafichwe Jeshini

Bwana mdogo mbona kila kitu kiko wazi? Wewe hujui, kwenye mataifa makubwa wanasayansi wakubwa wanapatikana wapi.

Hii ya panya, nenda SUA utaona hata jina la panya aliyepewa tuzo ya kutegua mabomu mengi zaidi ya ardhini huko Cambodia.
Mbona unaruka swali bwana mkubwa, we nipe tu reference ya hao wanasiasa wakubwa duniani ambao walikuwa wanajeshi
 
Alaah Ndio maana alichaguliwa kipindi kile
 
Sasa Covid ni "LOCAL PROBLEM!" kichwa kimejaa funza....
Aendelee na kutuchambulia "VIEITE" na kujirekodi akichezacheza kama t*mbirï inatosha, hayo makochi mjengoni ayatumie tu kwa kusinzia, kufyat** hewa, na kugonga meza..
 
Huyu mbunge wa viti maalumu amekuwa adimu Sana kwenye camera siku hizi
 
Atawafunga adabu!!!😆😆😆😆🤣🤣🤣
 
Madalali wa corona wamekasirika mpaka wanataka kupasuka.

Wanataka kupiga cha juu kwenye hayo machanjo ya wazungu yenye sumu.
 
Wewe dalali wa chanjo umeshavurugwa kichwa unafikiri chanjo za wazungu ndizo "SI UNIT" ya ubora.

Ukiambiwa umeze majani ya muarobaini unawaka kwa hasira... ati ooohhh haina ubora!

Haujui kwamba hata hiyo chanjo yako ya mjeremani imetengenezwa kwa majani haya haya isipokuwa wao wameongeza masumu mengine yanayoua taratibu.

Ohhh nataka chanjo kutoka Jeremani!!!

Take local herbs, acha ushamba wewe guluguja uliyeharibiwa ubongo na wajeremani.
 
Hivi huyu chakubanga ana akili timamu kweli au wadudu wameshapanda kichwani? Maana alioanza kupiga mabilioni kwenye ile project haramu yakununua wapinzani uchwara aliacha kutumia ARV zake
 
Chakubanga muongo, Corona siyo local problem, ni janga la kimataifa!
 
Zinduka wewe, hao wazungu wanafanya biashara ya madawa pamoja na ujasusi wa kibayolojia.

Hiyo corona kama ingekuwa ni gonjwa la hatari kiasi hicho tungeshuhudia watu wanakufa hovyo huku mitaani.

Ndio maana mabeberu wako bize wanapika takwimu bandia za vifo ili watu wajae hofu. It is propaganda!

Hafi mtu hapa. Hayo machanjo yenye sumu mkajichanje na mama zenu.

We are very fine here. Mtajibaraguza na hayo machanjo yenu uchwara lakini hamtafanikiwa.

Wanakuja wajinga hapa ati ooohhh tunataka chanjo ili tuzuie maambukizi!

Maambukizi? seriously!?

Hayo maambukizi yako wapi mbona mimi siyaoni!?
 
Tunahangaika sana kutafuta mbinu ya kuficha kabla ya kutafuta hicho cha kukificha ?
Una Hakili sana, Ebu huyu Polepole anaongealea Kuficha nini; Yeye na Boss wake Waliudharau ugojwa wakasema Haupo Je leo hii yeye anapanga Kuficha Nini ambacho Mataifa Mengine Hayana. Tunajua Yeye na Boss wake Walipereka ndege Madagasca ; Lakini wapi Mungu akatuonyesha Ukuu wake kwa Kuwatwaa Uliokuwa wanatupotosha.
 
Chakubanga muongo, Corona siyo local problem, ni janga la kimataifa!
Janga la kimataifa wapi mbona sisi tuko hapa kariakoo na hatujaugua japo mafua?

Janga la kimataifa my foot!

Kwendeni huko na machanjo yenu uchwara!
 
Baba alisemaga hivyo hivyo, sasa hatunaye! Baba tamisemi wa zamani naye akatuletea season za nyungu, sasa hivi yupo sambamba na njia za kisasa za kupambana na Corona, Wewe endelea na u-gamboshi!
 
Baba alisemaga hivyo hivyo, sasa hatunaye! Baba tamisemi wa zamani naye akatuletea season za nyungu, sasa hivi yupo sambamba na njia za kisasa za kupambana na Corona, Wewe endelea na u-gamboshi!
Upuuzi mtupu.

Kunywa dawa za asili wewe achana na hayo masumu ya wazungu.

Kujitia tia tu ujuaji na usomi uchwara!
 
Janga la kimataifa wapi mbona sisi tuko hapa kariakoo na hatujaugua japo mafua?

Janga la kimataifa my foot!

Kwendeni huko na machanjo yenu uchwara!
Basi, siyo janga la kimataifa, ni local problem, lakini Kariakoo hamjaugua mafua, your foot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…