Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
ANAJARIBU KULITONGOZA JESHI APINDUE NCHI, .... THESE CHICKEN IQS!Bado ana element za mwendazake. Maana yeye kila kitu jeshi. Korosho Jeshi, kuteka maduka ya fedha Jeshi, Kuiba uchaguzi Jeshi. Yaani yeye yuko kwenye Jeshi jeshi jeshi jeshi. Apuuzwe tu. Corona sio homa ya kideri ya kuku.
Yeye si alisema ni bora corona kuliko chadema???leo hii anataka tena dawa ya kutibu hiyo corona???kweli nyani haoni mkunduleMbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.
Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.
"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]sidhani kama huyu mtu ni mzima kichwani.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] akikutana na wajinga lazima wamuaminiVijamaa vya Conspiracy theories hivi na mbwembwe zao.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Iran na Majirani wote wa Israeli wameshindwa kuficha nyuklia na wataalamu wao ndio polepole aje na mbwembwe za eti kuficha kiwanda cha tunguli?Unaweza kuficha kiwanda mbali mabeberu washindwe kufika!!
Iran wana kiwanda cha nuclear wamekificha lakini mabeberu wanafahamu.
Huyu Polepole mweupe sana, bora aendelee kukaa kimya siku iingie
Wewe nae ni kati ya wale wasiojitambuaTunahangaika sana kutafuta mbinu ya kuficha kabla ya kutafuta hicho cha kukificha ?
... lakini akawekwa 'pending' ili apige kampeni ya 'URAIS WA MILELE' kwanza!Ni kampeni meneja aliyepewa ubunge kwa mataarisho ya nafasi kubwa zaidi katika Ufalme wa miaka saba ya nyongeza.
..majuzi niliona habari za jeshi letu kupokea misaada toka kwa Marekani na Ujerumani.Lamaana alilopaswa kuzungumza ni kwa Serikali kupitia JWTZ iwekeze sana kwenye research kuanzia za magonjwa, silaha na teknolojia kwa ajili ya usalama na maendeleo ya nchi yetu.... Hivyo vyote vifanyike kwa usiri kwenye makambi yetu tukihusisha watalaam wa jeshi pamoja na raia..
Mkuu naomba unijibu. Tanzania kujitengenezea dawa yake shida iko wapi? Mbona India imejitengenezea chanjo hujalalamika?Sawa, jiunge na huyo kivumishi kipumbavu, na mbunge wenu mzee kijana, mjitegemee, lakini Tanzania ya sasa ipo sambamba na ulimwengu!
😂😂😂... lakini akawekwa 'pending' ili apige kampeni ya 'URAIS WA MILELE' kwanza!
😅View attachment 1820732
Jeshi jeshi, kujenga ukuta jeshi, kununua korosho jeshi, kulinda bank jeshi, mlitaka kuweka mabasi ya jeshi kusafirisha abiria.Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, Humphrey Polepole leo Bungeni ameongelea suala la Covid na kusema wameambiwa Corona inaendelea. Polepole ametoa Rai kujenga kiwanda cha mimea dawa kulingana na Ilani ya CCM.
Polepole amesema watu watatibiwa na kupona na mimea dawa lakini Rai yake kiwanda hicho kisiwekwe Uraiani badala yake kifichwe kwenye Kambi ya Jeshi ambapo hakuna mtu anaweza kufika kwani ni Vita na wakijua zinatengenezwa dawa kupambana na Uviko watahujumu.
"Nimesikia wakubwa jana wanasema tupewe chanjo Bilioni moja tuje kudungwa hapa, nilikuwa natoa Rai tuwekeze vya kwetu, local solution for local problem" Alisema Polepole
... isije ikawa safari hii wakaunda kirusi hatari zaidi kwa kupata 'hybrid' ya virus wa panya na wa binaadam na kutuletea COVID-20++ ...!Duniani koote, wanasayansi wakubwa wanapatikana jeshini. Kwa kiwango fulani yuko sahihi. Tunapaswa na sisi kufanya kitu kuhusu janga hili. Siyo kusubiria tu. Jana nilikuwa nasikiliza DW Radio wanasema Tanzania wameanza kufanya utafiti kutumia panya kubaini maambukizi ya uviko-19. Walifanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye TB, sasa wanafanya kwenye uviko 19. Wataalam wa SUA wanasema mafanikio yanaonekana. Panya wataweza kufanya kazi hiyo na kwa ufanisi.
Huwezi kujitengenezea dawa kwa kujitenga na dunia ama kwa nia ya ku-show off kwamba na Sisi tunaweza! India ni waasisi wa tiba za madawa, hata Magharibi walikopi kwao, lakini msingi wa sayansi yao ya madawa si kutaka kujiondoa ‘ulimwenguni!’Mkuu naomba unijibu. Tanzania kujitengenezea dawa yake shida iko wapi? Mbona India imejitengenezea chanjo hujalalamika?
Mpaka lini tutaacha kutegemea nchi zingine?
... wamezoea mahera ya burebure ambazo, kwa kiingereza cha Mang'waza, tunaziita 'JA BHOYO'!Eti ni vita! Bado ana msongo wa mawazo huyu chakubanga.
Yaani hamjui hata adui yake anaepambana nae, badala ashauri nguvu za kupambana na korona anawaza vita na mabeberu tu ambao bahati mbaya nao wana pambana na korona hiyo hiyo!
Hawa jamaa waambiwe ujinga wa kutuaminisha vita na tupo vitani ili watupige hela na kutufanya wanyonge haupo tena