#COVID19 Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

Usimuhusishe Mungu kwenye mambo yasiyostahili, huyu polepole aliamini Magufuli ndiye Mungu na hakika ndiye aliyemuabudu.
Acha mihemko, nilini polepole alikwambia kuwa rais Magufuli ni Mungu? Tumieni akili kufikiri
 
We Màtaga Acha ujinga,wanatakiwa juchanjwa ni wale wenye miaka 50+ au wenye changamoto mbalimbali.
He huyo Polepole wako ana miaka 50.
Lakini hata yeye yupo neutral kwenye utu uzima yupo kwenye utoto yumo hivyo anaweza kuchoma tu.
 
Anamuamini mungu gani?
Polepole ulimuangalia kwa jicho la kisiasa kutokana na mlengo wake wa kiitikadi, kama haupo upande anaousimamia unaweza kumchukia. Lakini linapokuja suala la imani yake kuhusu Mungu anayemuamini hapo ni lazima tu utamtaka.
 
Pole Pole nenda kachanje MALUKANGA na UVIKO ni kama Chatu kwa mbwa.
 
Mungu gani huyo?hao ‘mungu’ wao alikua Magu ndiye waliyekua wanamnyenyekea na Kabudi wake.
Ila kumbukumbu yangu inaonesha pole pole alikuwa na jiwe kama kazi tu ila hao kina prof macho kodo ndio walimuhusudu na kumnyenyekea jiwe, pole pole alikuwa zake kwa maslahi yake na alificha sana kujipendekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole ulimuangalia kwa jicho la kisiasa kutokana na mlengo wake wa kiitikadi, kama haupo upande anaousimamia unaweza kumchukia. Lakini linapokuja suala la imani yake kuhusu Mungu anayemuamini hapo ni lazima tu utamtaka.
Anamuamini Mungu yupi?? Yaani wanaiba kura na yeye yupo alafu unadai anamuamini Mungu?
 
Boss mapovu ya nini? Polepole katumia hiyari yake kutochanja, na wewe smart genius unaweza kutumia hiyari yako kuchanja. Kulalama pale mwenzako anapotumia hiyari yake ni udikteta.
 
polepole atachanjwa tu ni swala la mda
 
Alijua kila aina ya uovu uliyetendwa na mfumo dhidi ya watanzania. Tunaendelea kusali bila kukoma ili Bwana awashughulikie!
Mungu gani huyo?hao ‘mungu’ wao alikua Magu ndiye waliyekua wanamnyenyekea na Kabudi wake.
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…