Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania Kingi. Nyoka watupu! Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa. Bali usaliti aliofanyiwa kwa kuuzwa na watu wake wa karibu sana. Mpango ni kumuacha akiwa mzima ajionee mwenyewe. Hasira za watesi wake ziliisha siku tatu baada ya unyakuzi. Sasa anapewa vinono ila mateso ya ndani kwa ndani kwa kuona nyoka mmoja baada ya mwingine kwenye kundi lake.
Polepole alimtumia ujumbe kaka yake aachane na anachokifanya kwani nyoka ni wengi. Kaka wa polepole naona amepuuza licha ya kuzungumza na ndugu yake. Na Bado!
 
Mungu atakusuprise, hii nchi hamtaiongoza tena
 
Ila watu wasichojua ni kuwa kwa sasa tunatumia nguvu kubwa sana kujizuia KUTUKANA ,sasa wanahisi wanachoandika kinafurahisha. Ukitaka kujua hilo angalia uzi ukipostiwa comments 20 afu walio viu 200 , hao 180 wote wameamua kutukana zao kimoyomoyo

Na sisi ndio tunataka hivyo. Mambo ya moyoni mwako hayatuhusu
 
Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania Kingi. Nyoka watupu! Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa. Bali usaliti aliofanyiwa kwa kuuzwa na watu wake wa karibu sana. Mpango ni kumuacha akiwa mzima ajionee mwenyewe. Hasira za watesi wake ziliisha siku tatu baada ya unyakuzi. Sasa anapewa vinono ila mateso ya ndani kwa ndani kwa kuona nyoka mmoja baada ya mwingine kwenye kundi lake.
Polepole alimtumia ujumbe kaka yake aachane na anachokifanya kwani nyoka ni wengi. Kaka wa polepole naona amepuuza licha ya kuzungumza na ndugu yake. Na Bado!
Leo WALI MAHARAGE unaenda ilia wapi?
 
Back
Top Bottom