BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Analia akiwa kaburini?Polepole sasa analia sana
Hivi yuko kaburini au amezamishwa kwenye tindikali?
Analia akiwa kaburini?Polepole sasa analia sana
Analia akiwa kaburini?
Hivi yuko kaburini au amezamishwa kwenye tindikali?
Daaah wewe ni Mtanzania kweli?Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania Kingi. Nyoka watupu! Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa. Bali usaliti aliofanyiwa kwa kuuzwa na watu wake wa karibu sana. Mpango ni kumuacha akiwa mzima ajionee mwenyewe. Hasira za watesi wake ziliisha siku tatu baada ya unyakuzi. Sasa anapewa vinono ila mateso ya ndani kwa ndani kwa kuona nyoka mmoja baada ya mwingine kwenye kundi lake.
Polepole alimtumia ujumbe kaka yake aachane na anachokifanya kwani nyoka ni wengi. Kaka wa polepole naona amepuuza licha ya kuzungumza na ndugu yake. Na Bado!
Analiaje akiwa amekufa?Mwenzio analia
Amekufa ulimuua weweAnaliaje akiwa amekufa?
Siku hizi maiti zinalia?
R.I.P Polepole.Amekufa ulimuua wewe
Kaka yake atakushangaa sanaR.I.P Polepole.
Huyo Kaka wa mchongo.Kaka yake atakushangaa sana
Unaniuliza mimi
Bado nini?Na bado
Sure mkuu Kiranga umenena kweli. Binafsi kuna watu wanaposti ujinga nashikwa na hasira hadi naamua kucheki profile lake nikikuta joined 2024 hapo hapo namsamehe hata kama akinitukana. Nikiona mtu platinum member joined 2006 alafu anapost mashudu huwa nahisi ni mnufaika wa utawala uliopo. Au ndio hawa vijana wamepata ajira kwa mgongo wa shemeji( nna mdogo wangu msaidie)Tatizo hapa unaweza kujibizana na mtu sana halafu ukakuta unatukanana na kitoto cha darasa la sita ambacho hakijajua hata kutawaza kinachotumia simu ya baba kuingia JF.
Yeah naamini pia hivyo,,hata ndugu zake wengine wenda hawajui kabisa.Ukweli anaoa kakaake na Polepole
Mafwele alishamuua siku ile ile aliyomteka na maiti yake imeshapotezwa.Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania Kingi. Nyoka watupu! Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa. Bali usaliti aliofanyiwa kwa kuuzwa na watu wake wa karibu sana. Mpango ni kumuacha akiwa mzima ajionee mwenyewe. Hasira za watesi wake ziliisha siku tatu baada ya unyakuzi. Sasa anapewa vinono ila mateso ya ndani kwa ndani kwa kuona nyoka mmoja baada ya mwingine kwenye kundi lake.
Polepole alimtumia ujumbe kaka yake aachane na anachokifanya kwani nyoka ni wengi. Kaka wa polepole naona amepuuza licha ya kuzungumza na ndugu yake. Na Bado!
SawaUende ukatiki kwa boss wako. Sio ombi
Kumbe umepanga kwa Silaa?Siku hizi Ukonga kwa mabeberu?
Tena nyumba ya Jerry Silaa nitaichoma mimi?
Siku hizi Ukonga kwa mabeberu?
Tena nyumba ya Jerry Silaa nitaichoma mimi?
Jichanganye