October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
- #21
Ukweli anaoa kakaake na Polepole
Ni kweli, wabongo wanafiki sana
Nahisi HP ni Ben Saanane wa awamu ya sita. Kaflag akichapisha tena umma utaelewa vizuri.
Tatizo hapa unaweza kujibizana na mtu sana halafu ukakuta unatukanana na kitoto cha darasa la sita ambacho hakijajua hata kutawaza kinachotumia simu ya baba kuingia JF.Ila watu wasichojua ni kuwa kwa sasa tunatumia nguvu kubwa sana kujizuia KUTUKANA ,sasa wanahisi wanachoandika kinafurahisha. Ukitaka kujua hilo angalia uzi ukipostiwa comments 20 afu walio viu 200 , hao 180 wote wameamua kutukana zao kimoyomoyo
Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania Kingi. Nyoka watupu! Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa. Bali usaliti aliofanyiwa kwa kuuzwa na watu wake wa karibu sana. Mpango ni kumuacha akiwa mzima ajionee mwenyewe. Hasira za watesi wake ziliisha siku tatu baada ya unyakuzi. Sasa anapewa vinono ila mateso ya ndani kwa ndani kwa kuona nyoka mmoja baada ya mwingine kwenye kundi lake.
Polepole alimtumia ujumbe kaka yake aachane na anachokifanya kwani nyoka ni wengi. Kaka wa polepole naona amepuuza licha ya kuzungumza na ndugu yake. Na Bado!
Don't trust any body even yourself..Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania Kingi. Nyoka watupu! Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa. Bali usaliti aliofanyiwa kwa kuuzwa na watu wake wa karibu sana. Mpango ni kumuacha akiwa mzima ajionee mwenyewe. Hasira za watesi wake ziliisha siku tatu baada ya unyakuzi. Sasa anapewa vinono ila mateso ya ndani kwa ndani kwa kuona nyoka mmoja baada ya mwingine kwenye kundi lake.
Polepole alimtumia ujumbe kaka yake aachane na anachokifanya kwani nyoka ni wengi. Kaka wa polepole naona amepuuza licha ya kuzungumza na ndugu yake. Na Bado!
Huyu naye ni Nyoka.... Jamaa kupata Ajira Mbwinde huko tayari anajifanya Mfia Chama.Ni kweli, wabongo wanafiki sana
Nyumbu wewe!! Si ufanye wewe? Unataka nani afanye kwa ujinga wako huo. Wewe uko kwa mabeberu unaosha vizee vya kizungu unawadanganya nyumbu wenzako walioko TZ!!Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu
Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Mdogo ake na yule afisa wapolisi ambae anatrens sshv wanasema badoAmeshauwawa tayari
Siku hizi Ukonga kwa mabeberu?Nyumbu wewe!! Si ufanye wewe? Unataka nani afanye kwa ujinga wako huo. Wewe uko kwa mabeberu unaosha vizee vya kizungu unawadanganya nyumbu wenzako walioko TZ!!
Huyu naye ni Nyoka.... Jamaa kupata Ajira Mbwinde huko tayari anajifanya Mfia Chama.
Mzee Butiku ameshinda nishani ya UNAFIKI.
Avalishwe taji.
Mmeshapima hali ya hewa watanzania wanasubiri taarifa rasmi ya kifo kabla awajapandisha mizuka.
Narrative mliyotumia week yote hii kuiuza kupitia polisi, makada wenu na vyombo vya habari uchwara ya kuwa Polepole hakuwa Tanzania. Leo hii mnataka kuikana ile ni message tosha ya kujaribu kukimbia lawama; he is most likely unalived kwa sasa maajabu ikiwa atapatikana hai.
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu
Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Daaaa nchi lazima ikomboleweee......turudishe uzalendo nchiniii
Kwani polepole alifanya kipi hata udhani kuwa kauzwa?