October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Ajira ulishapata mkuu?
Maana niliona tangazo lako ukitafuta ajira
VizuriNipo Bomba mbili jiungeni nachapa kazi. Na bado
Ameshauwawa tayari
Vizuri
Mungu atakusuprise, hii nchi hamtaiongoza tenaBadobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania Kingi. Nyoka watupu! Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa. Bali usaliti aliofanyiwa kwa kuuzwa na watu wake wa karibu sana. Mpango ni kumuacha akiwa mzima ajionee mwenyewe. Hasira za watesi wake ziliisha siku tatu baada ya unyakuzi. Sasa anapewa vinono ila mateso ya ndani kwa ndani kwa kuona nyoka mmoja baada ya mwingine kwenye kundi lake.
Polepole alimtumia ujumbe kaka yake aachane na anachokifanya kwani nyoka ni wengi. Kaka wa polepole naona amepuuza licha ya kuzungumza na ndugu yake. Na Bado!
Mungu atakusuprise, hii nchi hamtaiongoza tena
Sioti huu ndio uhalisiaEndelea kuota. Na bado.
Hizi pseudo/proxy zinawapa nguvu sana, sasa kama una hayo mamlaka kwa nini usiende moja kwa moja commando? Uoni Kaka wa Polepole moja kwa moja commandoNipo Bomba mbili jiungeni nachapa kazi. Na bado
Ila watu wasichojua ni kuwa kwa sasa tunatumia nguvu kubwa sana kujizuia KUTUKANA ,sasa wanahisi wanachoandika kinafurahisha. Ukitaka kujua hilo angalia uzi ukipostiwa comments 20 afu walio viu 200 , hao 180 wote wameamua kutukana zao kimoyomoyo
Hizi pseudo/proxy zinawapa nguvu sana, sasa kama una hayo mamlaka kwa nini usiende moja kwa moja commando? Uoni Kaka wa Polepole moja kwa moja commando
Leo WALI MAHARAGE unaenda ilia wapi?Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania Kingi. Nyoka watupu! Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa. Bali usaliti aliofanyiwa kwa kuuzwa na watu wake wa karibu sana. Mpango ni kumuacha akiwa mzima ajionee mwenyewe. Hasira za watesi wake ziliisha siku tatu baada ya unyakuzi. Sasa anapewa vinono ila mateso ya ndani kwa ndani kwa kuona nyoka mmoja baada ya mwingine kwenye kundi lake.
Polepole alimtumia ujumbe kaka yake aachane na anachokifanya kwani nyoka ni wengi. Kaka wa polepole naona amepuuza licha ya kuzungumza na ndugu yake. Na Bado!
Yote hayo umejuaje wakati upo Nachingwea huko wee CHAWA..?Kinachomuumiza Polepole sio mateso anayopata na haumii hata akiuawa
Yote hayo umejuaje wakati upo Nachingwea huko wee mwalimu CHAWA..
KERO - Walimu ajira mpya msitusahau bado tunalia | JamiiForums KERO - Walimu ajira mpya msitusahau bado tunalia