Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

If this isn't a spot on description of Pole Pole I don't know what will ever be.
Pole anaishi kwenye denial ya kuwa anakubalika sana na kuwa ana wafuasi wengi. Anasahau relevance pekee aliyokuwa nayo ni kuwa alikuwa kibaraka wa Magufuli. Hii inamaanisha umaarufu wake na thamani yake vimeondoka na Magufuli.
Ni swala la wakati atasahaulika kabisa kama alishawahi hata kuexist.
Haya madarasa yake ya uongozi yatabadilika kuwa madarasa ya mapishi.
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa kuandika,

“Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote”

Mnamshambulia nini umekili hana sifa
Kelele zake zimetuchosha.
 
We ulishawahi kuijibu "hoja" ya ma V8?
Tena amezungukwa na mabendera ya chama!
Kama uwezo wako ni kama alionao Pole pole , basi n kukupa pole tu!
 
And thats the paradox
Polepole kazungumzia "wahuni", watu ambao in political terms ameshindwa kuwa define!
Pole pole kazungumzia wahuni , halafu kajikuta na yeye mwenyewe yumo kundi hilo hilo la wahuni.
Na mpo wengi wahuni, political vagabonds!
 
Yuko na haki ya kulonga na kusikilizwa,maana hakuna upumbavu ulio upumbavu mtupu,hata kwenye upumba na ya maana yamo Ila inahitaji mwenye hekima.
 
Polepole hajijui, hajielewi, hajawahi kuwa!
 
Binafsi namfam Polepole kuwa si mtu wa kuyumba katika kauli zake, Polepole ni mwanasiasa ambao wapo tayari kusimamia wanachokiamini, hanunuliki ye kwake siasa ni itikadi sio sehemu ya kutafutia ugali! Polepole ni mjamaa! Polepole ukimfatlia tangia huko nyuma kipind ata cha kampeni mwaka 2015 alikuwa anakubalina na Magufuli, Polepole kiitikadi ni rahisi kufanya siasa zake akishirikiana na wakina Mzee wa Mangura, Bashiru Ally, wakina Kabudi, Warioba na Butiku! Polepole ni mjamaa kiuhalisia hawezi kukaaa chungu kimoja na Mabepari.
 
Acha hizo!
Polepole ni political oppurtunist.
Kusifia ma V8 ndio sera za kijamaa?
 
Alipoongelea ma-viete pale alikuwa katika ulevi wa madaraka usioweza kuelezewa ukaeleweka. Siku zote muda ndio msema ukweli.

Utawajua wanasiasa rangi zao halisi kwa kuwa mvumilivu ukiuheshimu muda, kwani unaanika kila kitu na kukiweka wazi kwa kila mtu.
 
Ujamaa wa kukana katiba mpya ambayo aliipigania. Umaarufu wa Polepole ulianzia kwenye katiba mpya. Lakini kwa sababu ya njaa zake (ndio kununuliwa kwenye) aliikana mazima hiyo katiba. Unataka atembee uchi ndio uamin kuwa ni malaya wa kisiasa mwenye maslahi ya tumbo lake tu?
 

Polepole anashauriwa ende slow slow!
Kuna road bump(tuta) atalikuta mbele!
 
And thats the paradox
Polepole kazungumzia "wahuni", watu ambao in political terms ameshindwa kuwa define!
Pole pole kazungumzia wahuni , halafu kajikuta na yeye mwenyewe yumo kundi hilo hilo la wahuni.
Na mpo wengi wahuni, political vagabonds!
Umemtafsili wewe lakini sio yeye alichomaanisha,
Yeye alisema watu serikalini na humo serikalini si wote wanasiasa na wengine wapo wa upinzani ni watumishi na ni wahalifu au wahuni.
 
Umemtafsili wewe lakini sio yeye alichomaanisha,
Yeye alisema watu serikalini na humo serikalini si wote wanasiasa na wengine wapo wa upinzani ni watumishi na ni wahalifu au wahuni.
Huna haja ya kumtetea, siye tumemweka kwenye mzani, hatoshi!
 
Polepole nje ya chama huo mvuto aupate wapi?

Nani mtu wa kumjali au kumfikiria Polepole hapa Tanzania ukiwaacha wanao mtegemea?

Ana mvuto gani kisiasa?
Mtaje mwana CCM mwenye ubavu na mvuto wa kisiasa hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…