Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

Polepole hakuijua vizuri CCM though alishika cheo kikubwa kabisa.

Namshauri akae kimya, maana wakati anatamba na ma vi eiteee sisi hatukuruhusiwa kutia neno.

Otherwise anajipalia makaa, hiyo haki ya kusikilizwa ndo kaijua leo siyo ?
 
Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.

AKASIFIA MA V8!

Na raha zake, pamoja na AC zake!

Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure kwa opportunist.

Hizi ndiyo dalili za material opportunism[emoji1534][emoji1533]
 
Hakuna mwana CCM mwenye ubavu wa kisiasa! Sio Nape, Sio, Samia, sio Ndugai sio yoyote!!

Wote ndani ya CCM wanabebwa na nguvu ya Chama!

Nguvu ya siasa alikuwa nayo JPM na LOWASSA tu Basi!

Acha kumtukana Polepole kwa chuki zako binafsi,

Ila nikuambie nje ya Chama, Polepole Ana mvuto kuliko Samia, Chongolo, Shaka, na Ndugai! Ndani Polepole hapendwi kwa kuwa hashiriki desturi ya udemkaji ya uccm kwa mwenyekiti wa chama
 
Sasa connection ya hoja hadi kuingizwa Shaka ni ipi? Maana bottom line ya hoja si Shaka vs Polepole.
Wote ni makada wa ccm na kati ya hao tayari wamekitumikia kiti /cheo cha katibu mwenezi wa chama chao chakavu
 
Hakuna mwana CCM mwenye ubavu wa kisiasa! Sio Nape, Sio, Samia, sio Ndugai sio yoyote!!

Wote ndani ya CCM wanabebwa na nguvu ya Chama!
Nguvu ya siasa alikuwa nayo JPM na LOWASSA tu Basi!
Acha kumtukana Polepole kwa chuki zako binafsi,
Ila nikuambie nje ya Chama, Polepole Ana mvuto kuliko Samia, Chongolo, Shaka, na Ndugai! Ndani Polepole hapendwi kwa kuwa hashiriki desturi ya udemkaji ya uccm kwa mwenyekiti wa chama
Polepole nje ya chama huo mvuto aupate wapi?

Nani mtu wa kumjali au kumfikiria Polepole hapa Tanzania ukiwaacha wanao mtegemea?

Ana mvuto gani kisiasa?
 
View attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.

Polepole alichomoza wakati wa mbadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.

Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8!
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure kwa opportunist.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!

Sasa yuko mitaani baada ya mentor Magufuli kafariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?

Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.

Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!

Mimi namshauri Polepole iingie motion tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
Wahuni mpo kazini
Kwa sasa hakuna mjinga hapa tanzania, hakuna cha mzizi wa siasa bali ni haki na uwajibikaji,
Usijidanganya kwa kutumia pesa ukazani kwa sasa zitampa mtu umaarufu kisiasa kama zamani.
Kwa sasa utaliwa na watu wataelekea wanapo jua kuna haki.
 
Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema...

mimi nitamsikiliza tu kama atazungumzia mavi-ete.

akizungumzia suala la machinga huo utakuwa ni ukorofi(kwa sauti ya mama tariq).
 
Mbona mnatumia nguvu kubwa kuandika,

“Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote”

Mnamshambulia nini umekili hana sifa
Polepole anashambuliwa na atazidi kushambuliwa kwa matendo aliyo watendea wananchi kwa kiburi na jeuri ya mteuzi wake.
 
Polepole angekuwa na msimamo basi asingekubali kuteuliwa kuwa dc wa ubungo.

Kumbuka kwenye ukusanyaji wa maoni ya katiba pendekezwa ya mzee Warioba alivyo kuwa analaani vyeo vya udc.
Kwani Polepole ndiye aliyetoa wazo la kufuta vyeo vya Ukuu wa mkoa na wilaya? Polepole Yeye alikuwa akikusanya maoni ya wananchi na kuyatolea ufafanuzi, Polepole mnamwonea tu Yeye alikuwa mkusanya maoni ya wananchi tu,na kuyatolea ufafanuzi kwenye makongamano no.
 
Polepole wacha avune alichokipanda na hata ukimtetea hautafanikiwa kamwe
 
Unavyosema hawezi kuwa na pointi ya msingi unaonesha ulivyo myopic, jibu hoja zake anazo raise as simple as a,b,c, hizo kelele za Shaka unazomsifia kusema msiibe mali ya umma zimekuwepo toka enzi na bado tunaibiwa tu, kwanza huyo Shaka mwenyewe alikuwa scandal Morogoro.
Kwani Polepole ana hoja ipi ya msingi? Yaani nini hoja yake na ikiwa anayo anataka nini Ili hiyo hoja yake ikamilike au itekelezwe? Binafsi sikuwa kumuona Polepole akiwa na hoja hata mara moja (tangu enzi hizo) zaidi ya kumuona mpayukaji tu.
 
View attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.

Polepole alichomoza wakati wa mbadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.

Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8!
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure kwa opportunist.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!

Sasa yuko mitaani baada ya mentor Magufuli kafariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?

Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.

Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!

Mimi namshauri Polepole iingie motion tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
Atleast anauthubutu
 
View attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along....
Wewe ushawahi kutoka hata barabarani kusema unachokiamini.

Justification ya Polepole kukaa kimya ni kisa Bashiru yupo kimya?

Pole pole ni haki yake kuongea kama ilivyo wewe kujificha nyuma ya keyboard ku-post.
 
Polepole na Bashiru walikuwa washirika kumaliza vyama vya upinzani, walitaka kuligeuza taifa letu liwe la chama kimoja.
Watu wawili hawawezi kuligeuza taifa liwe la chama kimoja, haya yalikuwa mawazo potofu yaliyojengwa kwenye msingi wa hofu.
 
Back
Top Bottom