Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningekuweka hata wewe tatizo nafasi.Shaka anaingiaje katika mjadala wa Polepole?
Sasa connection ya hoja hadi kuingizwa Shaka ni ipi? Maana bottom line ya hoja si Shaka vs Polepole.Shaka na Polepole wote ni makada wa ccm
Wote ni makada wa ccm na kati ya hao tayari wamekitumikia kiti /cheo cha katibu mwenezi wa chama chao chakavuSasa connection ya hoja hadi kuingizwa Shaka ni ipi? Maana bottom line ya hoja si Shaka vs Polepole.
Doh!😀😀😀Ningekuweka hata wewe tatizo nafasi.
Polepole nje ya chama huo mvuto aupate wapi?Hakuna mwana CCM mwenye ubavu wa kisiasa! Sio Nape, Sio, Samia, sio Ndugai sio yoyote!!
Wote ndani ya CCM wanabebwa na nguvu ya Chama!
Nguvu ya siasa alikuwa nayo JPM na LOWASSA tu Basi!
Acha kumtukana Polepole kwa chuki zako binafsi,
Ila nikuambie nje ya Chama, Polepole Ana mvuto kuliko Samia, Chongolo, Shaka, na Ndugai! Ndani Polepole hapendwi kwa kuwa hashiriki desturi ya udemkaji ya uccm kwa mwenyekiti wa chama
Wahuni mpo kaziniView attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.
Polepole alichomoza wakati wa mbadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.
Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8!
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure kwa opportunist.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor Magufuli kafariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.
Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!
Mimi namshauri Polepole iingie motion tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema...
Polepole anashambuliwa na atazidi kushambuliwa kwa matendo aliyo watendea wananchi kwa kiburi na jeuri ya mteuzi wake.Mbona mnatumia nguvu kubwa kuandika,
“Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote”
Mnamshambulia nini umekili hana sifa
Kwani Polepole ndiye aliyetoa wazo la kufuta vyeo vya Ukuu wa mkoa na wilaya? Polepole Yeye alikuwa akikusanya maoni ya wananchi na kuyatolea ufafanuzi, Polepole mnamwonea tu Yeye alikuwa mkusanya maoni ya wananchi tu,na kuyatolea ufafanuzi kwenye makongamano no.Polepole angekuwa na msimamo basi asingekubali kuteuliwa kuwa dc wa ubungo.
Kumbuka kwenye ukusanyaji wa maoni ya katiba pendekezwa ya mzee Warioba alivyo kuwa analaani vyeo vya udc.
Hao watu hawatakiwi kuonewa huruma kabisaPolepole na Bashiru walikuwa washirika kumaliza vyama vya upinzani, walitaka kuligeuza taifa letu liwe la chama kimoja.
Polepole wacha avune alichokipanda na hata ukimtetea hautafanikiwa kamweKwani Polepole ndiye aliyetoa wazo la kufuta vyeo vya Ukuu wa mkoa na wilaya? Polepole Yeye alikuwa akikusanya maoni ya wananchi na kuyatolea ufafanuzi, Polepole mnamwonea tu Yeye alikuwa mkusanya maoni ya wananchi tu,na kuyatolea ufafanuzi kwenye makongamano no.
Kwani Polepole ana hoja ipi ya msingi? Yaani nini hoja yake na ikiwa anayo anataka nini Ili hiyo hoja yake ikamilike au itekelezwe? Binafsi sikuwa kumuona Polepole akiwa na hoja hata mara moja (tangu enzi hizo) zaidi ya kumuona mpayukaji tu.Unavyosema hawezi kuwa na pointi ya msingi unaonesha ulivyo myopic, jibu hoja zake anazo raise as simple as a,b,c, hizo kelele za Shaka unazomsifia kusema msiibe mali ya umma zimekuwepo toka enzi na bado tunaibiwa tu, kwanza huyo Shaka mwenyewe alikuwa scandal Morogoro.
Atleast anauthubutuView attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along.
He is not even a Thinker.
Opportunist?-YES.
Polepole alichomoza wakati wa mbadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo.
Wakati wa JPM na hata baada ya kupata madaraka, maajabu yakatokea.
AKASIFIA MA V8!
Na raha zake, pamoja na AC zake!
Pamoja na ushamba, ile ilikuwa stark exposure kwa opportunist.
Hizi ndiyo dalili za material opportunism!
Sasa yuko mitaani baada ya mentor Magufuli kafariki.
Ati akaanzisha Darasa la Siasa.
WHOM IS HE FOOLING?
Polepole hana mizizi ya kisiasa
Polepole hana ubavu wa mali wala wa kisiasa.
Polepole hana wafuasi wowote kisiasa, hana appeal yoyote.
Kuwatetea machinga ni ile opportunists appeal kujaribu kupata political capital.
It failed miserably!
Mimi namshauri Polepole iingie motion tu, kama Bashiru.
No body will miss him.
Polepole avumiliwe tu atoe maoni yake, ni haki yake kisheria, na naona itapendeza zaidi kama hoja zake zikijibiwa kwa hoja sioni sababu ya ku-refer alikotoka au alichowahi kusema...
Wewe ndiye huna akili. Mama kakabidhi nchi kwenye mikono ya wezi. Hilo hata yeye Mama hawezi kupinga.View attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along....
Wewe ushawahi kutoka hata barabarani kusema unachokiamini.View attachment 2040058Polepole yupo katika mood ya kuchanganikiwa kisiasa.
He has not been a bright fellow all along....
Watu wawili hawawezi kuligeuza taifa liwe la chama kimoja, haya yalikuwa mawazo potofu yaliyojengwa kwenye msingi wa hofu.Polepole na Bashiru walikuwa washirika kumaliza vyama vya upinzani, walitaka kuligeuza taifa letu liwe la chama kimoja.