Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Atakuwa anakimbia ushuzi huku akikimbilia kujificha chooni tena kile cha shimoSasa anaenda kufanya nini kipya huko CCM

Yaani Mbowe awe balozi Cuba ?...Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Mchango wa Mbowe kwa Chadema usiukanyage kiasi hiki.Hapo kweny bold ndiko ulikoharibu. Nani kakuambia Mbowe anatumiwa na CCM kwa maslahi binafsi ya CCM? Siku zote kwa miaka 20 Mbowe ametumika na CCM kwa maslahi ya pande zote mbili.
Pili: eti Mbowe ameitumika CHADEMA kwa uaminifu! Hapo naona umekula Chaka. Mbowe hajawahi kuitumika CHADEMA kwa uaminifu, siku zote amekaa pale kuhakikisha CCM inashinda maslaahi yao na Mbowe anapata Maslahi yake. Ndio maana hata sasa ameendelea ku snich CHADEMA na ndiye Shahidi wa siri kwenye kesi ya LISU ili Lisu anyongwe maana hakutegemea kama angeweza kutolewa kwenye Uenyekiti.
Tatu: unasema Mbowe aling'atuka: Mbowe hakung'atuka bali aligh'atuliwa kwa nguvu ya umma.
Mbona alishtakiwa kwa ugaidi ?uzuri mbowe anatii mamlaka
fahamu zilimrudia japo haaminikiMbona alishtakiwa kwa ugaidi ?
All this sababu wamekosolewa 😂😂😂Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao (zoom meeting) ambapo amesikika akiulaumu uongozi wa CCM hadharani kwa kukiuka taratibu za kumteua mama Samia kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais.
Ikiwa chama kitafanya hivyo, Polepole atakuwa sio mtu wa kwanza kufukuzwa CCM lakini atakuwa mtu wa pili kufutiwa hadhi ya ubalozi baada ya Dr Wilbroad Peter Slaa kufutiwa hadhi hiyo mwaka jana baada ya kutofautiana na viongozi wa CCM, hivyo kumlazimu kurudi CHADEMA.
Kwa kinachoendelea kwa sasa, sio jambo la ajabu kwa mtu kama Polepole kufutwa uanachama na kupokwa hadhi ya ubalozi. Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Inasemekana kwamba kitendo cha Mbowe kuhudhuria mkutano wa rais Samia wakati akizindua sera ya taifa ya 2025-2050 ulikuwa ni mpangomkakati wa kuanza kumtambulisha mbele ya wanachama na ndio maana alipewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama wenzake wa CCM.
Akiendelea mbele zaidi mwanaintelijensia anayefahamu vizuri kinachoendelea ndani ya CCM alisema: "Chama kinasubiri muda muafaka wa kumtambulisha Mh Mbowe kwenye mkutano maalumu utakaoitishwa hivi karibuni kwa ajili ya kumfukuza uanchama Mh Polepole. Itakuwa ni bandika, bandua; kata mti, panda mti". Alisema.
MAONI YANGU
Pamoja na kuwa huenda CCM walishafikia makubaliano kumsajili Mbowe kwenye chama chao, namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi, hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Miaka yote 21 aliyoitumikia CHADEMA kwa uaminifu itakuwa bure na atafutika kabisa kwenye harakati za kisiasa za taifa hili kama ilivyotokea kwa akina Said Afi, Aman Kaborou, Sumaye, Lowasa na wengine.
Nawasilisha.
Ndiyo na ni gaidi kweli. Uliza familia ya Chacha Wangwe na Ben saanane. hata katibu Mkuu wake Dr. Slaa alithibitisha ugaidi wa Mbowe mara kadhaa. Sema Dereva mpya wa basi baada ya Jiwe kushuka hakuambiwa mapema kama Mbowe ni mtu wao na alikuwa akishiriki na kuwezesha ule ugaidi kwa maslahi yao CCM. Alipojulishwa aliahirisha habari za kumshikilia.Mbona alishtakiwa kwa ugaidi ?
Muda utazungumza..Lakini so bado hajaamia..tunza comments zako
Mbowe yupi?Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao (zoom meeting) ambapo amesikika akiulaumu uongozi wa CCM hadharani kwa kukiuka taratibu za kumteua mama Samia kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais.
Ikiwa chama kitafanya hivyo, Polepole atakuwa sio mtu wa kwanza kufukuzwa CCM lakini atakuwa mtu wa pili kufutiwa hadhi ya ubalozi baada ya Dr Wilbroad Peter Slaa kufutiwa hadhi hiyo mwaka jana baada ya kutofautiana na viongozi wa CCM, hivyo kumlazimu kurudi CHADEMA.
Kwa kinachoendelea kwa sasa, sio jambo la ajabu kwa mtu kama Polepole kufutwa uanachama na kupokwa hadhi ya ubalozi. Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Inasemekana kwamba kitendo cha Mbowe kuhudhuria mkutano wa rais Samia wakati akizindua sera ya taifa ya 2025-2050 ulikuwa ni mpangomkakati wa kuanza kumtambulisha mbele ya wanachama na ndio maana alipewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama wenzake wa CCM.
Akiendelea mbele zaidi mwanaintelijensia anayefahamu vizuri kinachoendelea ndani ya CCM alisema: "Chama kinasubiri muda muafaka wa kumtambulisha Mh Mbowe kwenye mkutano maalumu utakaoitishwa hivi karibuni kwa ajili ya kumfukuza uanchama Mh Polepole. Itakuwa ni bandika, bandua; kata mti, panda mti". Alisema.
MAONI YANGU
Pamoja na kuwa huenda CCM walishafikia makubaliano kumsajili Mbowe kwenye chama chao, namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi, hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Miaka yote 21 aliyoitumikia CHADEMA kwa uaminifu itakuwa bure na atafutika kabisa kwenye harakati za kisiasa za taifa hili kama ilivyotokea kwa akina Said Afi, Aman Kaborou, Sumaye, Lowasa na wengine.
Nawasilisha.
Siyo kuwa mgombea urais kupitia Chauma!?Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao (zoom meeting) ambapo amesikika akiulaumu uongozi wa CCM hadharani kwa kukiuka taratibu za kumteua mama Samia kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais.
Ikiwa chama kitafanya hivyo, Polepole atakuwa sio mtu wa kwanza kufukuzwa CCM lakini atakuwa mtu wa pili kufutiwa hadhi ya ubalozi baada ya Dr Wilbroad Peter Slaa kufutiwa hadhi hiyo mwaka jana baada ya kutofautiana na viongozi wa CCM, hivyo kumlazimu kurudi CHADEMA.
Kwa kinachoendelea kwa sasa, sio jambo la ajabu kwa mtu kama Polepole kufutwa uanachama na kupokwa hadhi ya ubalozi. Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Inasemekana kwamba kitendo cha Mbowe kuhudhuria mkutano wa rais Samia wakati akizindua sera ya taifa ya 2025-2050 ulikuwa ni mpangomkakati wa kuanza kumtambulisha mbele ya wanachama na ndio maana alipewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama wenzake wa CCM.
Akiendelea mbele zaidi mwanaintelijensia anayefahamu vizuri kinachoendelea ndani ya CCM alisema: "Chama kinasubiri muda muafaka wa kumtambulisha Mh Mbowe kwenye mkutano maalumu utakaoitishwa hivi karibuni kwa ajili ya kumfukuza uanchama Mh Polepole. Itakuwa ni bandika, bandua; kata mti, panda mti". Alisema.
MAONI YANGU
Pamoja na kuwa huenda CCM walishafikia makubaliano kumsajili Mbowe kwenye chama chao, namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi, hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Miaka yote 21 aliyoitumikia CHADEMA kwa uaminifu itakuwa bure na atafutika kabisa kwenye harakati za kisiasa za taifa hili kama ilivyotokea kwa akina Said Afi, Aman Kaborou, Sumaye, Lowasa na wengine.
Nawasilisha.
thubutu yenu! hayupo wa kumfukuza.Polepole atafukuzwa siku sio nyingi na nafasi yake atapewa Freeman Aikael Mbowe. Stay tuned!