kwa hiyo Mheshimiwa F. Aikael M. yeye hana maslahi?namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi,
Makubwa 🙄😳🙌Mbowe ameshahamia CCM... hio ni uhakika 100%...
View attachment 3409987
View attachment 3409988
Mbona hii ni toka zamani wengine tulijua...
Muda utazungumza..
Siasa sio dini akumbukwe Ili iweje? Akiteuliwa akatumikie wananchi afanye hivyo ale maisha Siasa ni karata ukijuwa kucheza unaniwin si kupenda misifa huku ukifa njaa, wanasiasa wote wanatafta chakula Chao Wala si vinginevyo, aende akale apooze machungu.Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao (zoom meeting) ambapo amesikika akiulaumu uongozi wa CCM hadharani kwa kukiuka taratibu za kumteua mama Samia kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais.
Ikiwa chama kitafanya hivyo, Polepole atakuwa sio mtu wa kwanza kufukuzwa CCM lakini atakuwa mtu wa pili kufutiwa hadhi ya ubalozi baada ya Dr Wilbroad Peter Slaa kufutiwa hadhi hiyo mwaka jana baada ya kutofautiana na viongozi wa CCM, hivyo kumlazimu kurudi CHADEMA.
Kwa kinachoendelea kwa sasa, sio jambo la ajabu kwa mtu kama Polepole kufutwa uanachama na kupokwa hadhi ya ubalozi. Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Inasemekana kwamba kitendo cha Mbowe kuhudhuria mkutano wa rais Samia wakati akizindua sera ya taifa ya 2025-2050 ulikuwa ni mpangomkakati wa kuanza kumtambulisha mbele ya wanachama na ndio maana alipewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama wenzake wa CCM.
Akiendelea mbele zaidi mwanaintelijensia anayefahamu vizuri kinachoendelea ndani ya CCM alisema: "Chama kinasubiri muda muafaka wa kumtambulisha Mh Mbowe kwenye mkutano maalumu utakaoitishwa hivi karibuni kwa ajili ya kumfukuza uanchama Mh Polepole. Itakuwa ni bandika, bandua; kata mti, panda mti". Alisema.
MAONI YANGU
Pamoja na kuwa huenda CCM walishafikia makubaliano kumsajili Mbowe kwenye chama chao, namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi, hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Miaka yote 21 aliyoitumikia CHADEMA kwa uaminifu itakuwa bure na atafutika kabisa kwenye harakati za kisiasa za taifa hili kama ilivyotokea kwa akina Said Afi, Aman Kaborou, Sumaye, Lowasa na wengine.
Nawasilisha.
Wanasema Mbowe anakwenda kuthibitishwa ndani ya ccm.maana anajulikana ni mwanccm alikuwa akiiongoza chadema.Ndiyo maana hofu ilitandanda walipoona Lisu anagombea uenyekiti chadema.Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao (zoom meeting) ambapo amesikika akiulaumu uongozi wa CCM hadharani kwa kukiuka taratibu za kumteua mama Samia kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais.
Ikiwa chama kitafanya hivyo, Polepole atakuwa sio mtu wa kwanza kufukuzwa CCM lakini atakuwa mtu wa pili kufutiwa hadhi ya ubalozi baada ya Dr Wilbroad Peter Slaa kufutiwa hadhi hiyo mwaka jana baada ya kutofautiana na viongozi wa CCM, hivyo kumlazimu kurudi CHADEMA.
Kwa kinachoendelea kwa sasa, sio jambo la ajabu kwa mtu kama Polepole kufutwa uanachama na kupokwa hadhi ya ubalozi. Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Inasemekana kwamba kitendo cha Mbowe kuhudhuria mkutano wa rais Samia wakati akizindua sera ya taifa ya 2025-2050 ulikuwa ni mpangomkakati wa kuanza kumtambulisha mbele ya wanachama na ndio maana alipewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama wenzake wa CCM.
Akiendelea mbele zaidi mwanaintelijensia anayefahamu vizuri kinachoendelea ndani ya CCM alisema: "Chama kinasubiri muda muafaka wa kumtambulisha Mh Mbowe kwenye mkutano maalumu utakaoitishwa hivi karibuni kwa ajili ya kumfukuza uanchama Mh Polepole. Itakuwa ni bandika, bandua; kata mti, panda mti". Alisema.
MAONI YANGU
Pamoja na kuwa huenda CCM walishafikia makubaliano kumsajili Mbowe kwenye chama chao, namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi, hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Miaka yote 21 aliyoitumikia CHADEMA kwa uaminifu itakuwa bure na atafutika kabisa kwenye harakati za kisiasa za taifa hili kama ilivyotokea kwa akina Said Afi, Aman Kaborou, Sumaye, Lowasa na wengine.
Nawasilisha.
Mbowe huyuhuyu waliyepambana kufa na kupona kuwahadaa wananchi kuwa ni gaidi(terrorist)?uzuri mbowe anatii mamlaka
Mbowe Aliyekua tayari ku compensate mishahara ya akina Halima waachane na Magufuli yeye atajazia watakachopewa Leo akachukue ubalozi wa Cuba kwa shida gani? Shida kubwa ya mashabiki uchwara wa CDM ni wahuni na wafitini reja reja! Uzuri muda huwa hakimu wa kweli!
Kuipasua na kupunguza nguvu ya CHADEMASasa anaenda kufanya nini kipya huko CCM
Wenye mwenyekiti wao wameishakasirika.Yaani kuongea leo polepole, baada ya nusu saa tetesi zimeshatoka kuwa nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe
Moderator hii siyo tetesi ni uhuni kama aliokuwa anausema Polepole. Futa uhuni huu!
Upumbavu km upumbavu mwingineDar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao (zoom meeting) ambapo amesikika akiulaumu uongozi wa CCM hadharani kwa kukiuka taratibu za kumteua mama Samia kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais.
Ikiwa chama kitafanya hivyo, Polepole atakuwa sio mtu wa kwanza kufukuzwa CCM lakini atakuwa mtu wa pili kufutiwa hadhi ya ubalozi baada ya Dr Wilbroad Peter Slaa kufutiwa hadhi hiyo mwaka jana baada ya kutofautiana na viongozi wa CCM, hivyo kumlazimu kurudi CHADEMA.
Kwa kinachoendelea kwa sasa, sio jambo la ajabu kwa mtu kama Polepole kufutwa uanachama na kupokwa hadhi ya ubalozi. Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Inasemekana kwamba kitendo cha Mbowe kuhudhuria mkutano wa rais Samia wakati akizindua sera ya taifa ya 2025-2050 ulikuwa ni mpangomkakati wa kuanza kumtambulisha mbele ya wanachama na ndio maana alipewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama wenzake wa CCM.
Akiendelea mbele zaidi mwanaintelijensia anayefahamu vizuri kinachoendelea ndani ya CCM alisema: "Chama kinasubiri muda muafaka wa kumtambulisha Mh Mbowe kwenye mkutano maalumu utakaoitishwa hivi karibuni kwa ajili ya kumfukuza uanchama Mh Polepole. Itakuwa ni bandika, bandua; kata mti, panda mti". Alisema.
MAONI YANGU
Pamoja na kuwa huenda CCM walishafikia makubaliano kumsajili Mbowe kwenye chama chao, namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi, hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Miaka yote 21 aliyoitumikia CHADEMA kwa uaminifu itakuwa bure na atafutika kabisa kwenye harakati za kisiasa za taifa hili kama ilivyotokea kwa akina Said Afi, Aman Kaborou, Sumaye, Lowasa na wengine.
Nawasilisha.
Nchi hii imevamiwa na wapumbavu mpk aibu na we nawe wa kumshauri Mbowe? Mpk unaleta quotes na ni matope yako umefinyanga hapo kijiweni. Kibwengo tu ww unabahatisha umaarufu mavi. Shame on you.Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao (zoom meeting) ambapo amesikika akiulaumu uongozi wa CCM hadharani kwa kukiuka taratibu za kumteua mama Samia kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais.
Ikiwa chama kitafanya hivyo, Polepole atakuwa sio mtu wa kwanza kufukuzwa CCM lakini atakuwa mtu wa pili kufutiwa hadhi ya ubalozi baada ya Dr Wilbroad Peter Slaa kufutiwa hadhi hiyo mwaka jana baada ya kutofautiana na viongozi wa CCM, hivyo kumlazimu kurudi CHADEMA.
Kwa kinachoendelea kwa sasa, sio jambo la ajabu kwa mtu kama Polepole kufutwa uanachama na kupokwa hadhi ya ubalozi. Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Inasemekana kwamba kitendo cha Mbowe kuhudhuria mkutano wa rais Samia wakati akizindua sera ya taifa ya 2025-2050 ulikuwa ni mpangomkakati wa kuanza kumtambulisha mbele ya wanachama na ndio maana alipewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama wenzake wa CCM.
Akiendelea mbele zaidi mwanaintelijensia anayefahamu vizuri kinachoendelea ndani ya CCM alisema: "Chama kinasubiri muda muafaka wa kumtambulisha Mh Mbowe kwenye mkutano maalumu utakaoitishwa hivi karibuni kwa ajili ya kumfukuza uanchama Mh Polepole. Itakuwa ni bandika, bandua; kata mti, panda mti". Alisema.
MAONI YANGU
Pamoja na kuwa huenda CCM walishafikia makubaliano kumsajili Mbowe kwenye chama chao, namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi, hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Miaka yote 21 aliyoitumikia CHADEMA kwa uaminifu itakuwa bure na atafutika kabisa kwenye harakati za kisiasa za taifa hili kama ilivyotokea kwa akina Said Afi, Aman Kaborou, Sumaye, Lowasa na wengine.
Nawasilisha.
Nchimbi na Babu jinga Steven Wassirahahaha! nani wa kumfukuza polepole?
Ni uchafuYaani kuongea leo polepole, baada ya nusu saa tetesi zimeshatoka kuwa nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe
Moderator hii siyo tetesi ni uhuni kama aliokuwa anausema Polepole. Futa uhuni huu!
Akijiunga Je? Apia kidogo kunogesha KiapoMbowe hawezi kujiunga CCM hata iweje.
Uzushi hivi jamiiCheck haijaona hii? Mods hiki ni nini kinaandikwa humu?Nawasilisha.
Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya mtandao (zoom meeting) ambapo amesikika akiulaumu uongozi wa CCM hadharani kwa kukiuka taratibu za kumteua mama Samia kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CCM katika kinyang'anyiro cha urais.
Ikiwa chama kitafanya hivyo, Polepole atakuwa sio mtu wa kwanza kufukuzwa CCM lakini atakuwa mtu wa pili kufutiwa hadhi ya ubalozi baada ya Dr Wilbroad Peter Slaa kufutiwa hadhi hiyo mwaka jana baada ya kutofautiana na viongozi wa CCM, hivyo kumlazimu kurudi CHADEMA.
Kwa kinachoendelea kwa sasa, sio jambo la ajabu kwa mtu kama Polepole kufutwa uanachama na kupokwa hadhi ya ubalozi. Swali ambalo halikuwa dhahiri ni je, baada ya kufukuzwa ni nani atakayeridhi mikoba yake? Swali hili tayari limepata jibu. Taarifa za kiintelijensia zinabainisha wazi kwamba mtu atakeyerithi mikoba ya Polepole ni Mh Freeman Aikael Mbowe, mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA aliyeng'atuka madarakani baada ya kukalia kiti hicho kwa muda wa miaka 21.
Inasemekana kwamba kitendo cha Mbowe kuhudhuria mkutano wa rais Samia wakati akizindua sera ya taifa ya 2025-2050 ulikuwa ni mpangomkakati wa kuanza kumtambulisha mbele ya wanachama na ndio maana alipewa nafasi ya kuongea kwenye mkutano huku akishangiliwa kwa nguvu na wanachama wenzake wa CCM.
Akiendelea mbele zaidi mwanaintelijensia anayefahamu vizuri kinachoendelea ndani ya CCM alisema: "Chama kinasubiri muda muafaka wa kumtambulisha Mh Mbowe kwenye mkutano maalumu utakaoitishwa hivi karibuni kwa ajili ya kumfukuza uanchama Mh Polepole. Itakuwa ni bandika, bandua; kata mti, panda mti". Alisema.
MAONI YANGU
Pamoja na kuwa huenda CCM walishafikia makubaliano kumsajili Mbowe kwenye chama chao, namshauri Mh Mbowe asikubali kamwe kutumiwa na CCM kwa maslahi yao binafsi, hasa wakati huu tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu. Miaka yote 21 aliyoitumikia CHADEMA kwa uaminifu itakuwa bure na atafutika kabisa kwenye harakati za kisiasa za taifa hili kama ilivyotokea kwa akina Said Afi, Aman Kaborou, Sumaye, Lowasa na wengine.
Nawasilisha.
Msigwa na akina Halima wameshindwa hiyo kazi, Zitto alishindwa , Dr silaa alishindwa unafikiri yeye ataweza? akienda CCM nani atamzingatia saizi CCM kwenyewe wanamenyanaKuipasua na kupunguza nguvu ya CHADEMA