Tetesi: Polepole kufukuzwa CCM; nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

Yaani Mbowe awe balozi Cuba ?...

Fundi Mchundo zitto junior Lusungo
 
Mchango wa Mbowe kwa Chadema usiukanyage kiasi hiki.

Tindo Fundi Mchundo JokaKuu
 
All this sababu wamekosolewa 😂😂😂
 
Mbona alishtakiwa kwa ugaidi ?
Ndiyo na ni gaidi kweli. Uliza familia ya Chacha Wangwe na Ben saanane. hata katibu Mkuu wake Dr. Slaa alithibitisha ugaidi wa Mbowe mara kadhaa. Sema Dereva mpya wa basi baada ya Jiwe kushuka hakuambiwa mapema kama Mbowe ni mtu wao na alikuwa akishiriki na kuwezesha ule ugaidi kwa maslahi yao CCM. Alipojulishwa aliahirisha habari za kumshikilia.
 
Mbowe yupi?
 
kama mnamuweka mbowe anawasaliti kweupe yani ccm mshachanganyikiwa.Mbowe anakiuza chama
Wenyewe walishamfanyia utafiti na kuona hana tatizo mkuu. Mbona Mrema alirudi CCM lakini hakuleta shida yoyote?
 
Siyo kuwa mgombea urais kupitia Chauma!?
Tutasikia mengi sana kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…