Tetesi: Polepole kufukuzwa CCM; nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

Siasa sio dini akumbukwe Ili iweje? Akiteuliwa akatumikie wananchi afanye hivyo ale maisha Siasa ni karata ukijuwa kucheza unaniwin si kupenda misifa huku ukifa njaa, wanasiasa wote wanatafta chakula Chao Wala si vinginevyo, aende akale apooze machungu.
 
Wanasema Mbowe anakwenda kuthibitishwa ndani ya ccm.maana anajulikana ni mwanccm alikuwa akiiongoza chadema.Ndiyo maana hofu ilitandanda walipoona Lisu anagombea uenyekiti chadema.


Siasa za Tanzania ni kuganga njaa.kila mtu anataka uongozi kwa sababu ya njaa yake binafsi.

Angalia uwekezaji wanaoufanya wagombea ubunge wa sisiem walioko kwenye mchakato wa kupitishwa tatu bora.

Wengi wa wabunge ambao ni wafanyabiashara wakubwa wanaingia bungeni ili kulinda biashara zao
 
uzuri mbowe anatii mamlaka
Mbowe huyuhuyu waliyepambana kufa na kupona kuwahadaa wananchi kuwa ni gaidi(terrorist)?
Labda sasa ndiyo ameamua kuwa gaidi kama anajiunga na magaidi wa CCM wanaoteka, kulawiti, kuua na kupora.
 
Yaani kuongea leo polepole, baada ya nusu saa tetesi zimeshatoka kuwa nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

Moderator hii siyo tetesi ni uhuni kama aliokuwa anausema Polepole. Futa uhuni huu!
Wenye mwenyekiti wao wameishakasirika.
Kazi hiyo
 
Upumbavu km upumbavu mwingine
 
Nchi hii imevamiwa na wapumbavu mpk aibu na we nawe wa kumshauri Mbowe? Mpk unaleta quotes na ni matope yako umefinyanga hapo kijiweni. Kibwengo tu ww unabahatisha umaarufu mavi. Shame on you.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kuipasua na kupunguza nguvu ya CHADEMA
Msigwa na akina Halima wameshindwa hiyo kazi, Zitto alishindwa , Dr silaa alishindwa unafikiri yeye ataweza? akienda CCM nani atamzingatia saizi CCM kwenyewe wanamenyana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…