Tetesi: Polepole kufukuzwa CCM; nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

Kwanini atoe siri za chama na kuwakosoa viongozi wakati yeye ni mgeni kwenye chama?
Pole pole sio mgeni kwenye CCM.
Anasema amekaa vikao vyoote hakuna alichobakiza. Amefanya kazi na heavy weights kama Salim, Waryoba, Butiku, Baregu, Magufuli. Kuna walio join chama 77 hawajawahi hata kuongea na hao wazito.
 
Sito shangaa. ILA HUYO atabaki upinzani ILI atumike VIZURI lisuu aki susa
 
Sito shangaa. ILA HUYO atabaki upinzani ILI atumike VIZURI lisuu aki susa
Kuna uwezekano hata kesi ya mchongo ya Lissu huenda amehusika kuwapelekea CCM siri za CHADEMA. Haaminiki huyu.
 
Mbowe hawezi ofa za chini hivyo
 
Pole pole sio mgeni kwenye CCM.
Anasema amekaa vikao vyoote hakuna alichobakiza. Amefanya kazi na heavy weights kama Salim, Waryoba, Butiku, Baregu, Magufuli. Kuna walio join chama 77 hawajawahi hata kuongea na hao wazito.
Sio ugeni huo unaosema wewe mkuu. Kwani Polepole alijiunga lini na CCM ukilinganisha na hao makada wengine uliowataja?
 
Mbowe hawezi ofa za chini hivyo
Unadhani ni ofa gani anayoweza kukubali mkuu? Hii labda ni ofa ya kuanzia na baada ya hapo watampa cheo kikubwa zaidi.
 
Tayari huko jamani. Mkutano maalumu unaketi leo kumfuta Polepole uanachama na hadhi ya ubalozi. Inasemekana na Gwajima naye atafukuzwa. Ngoja tuone.
 
Mvowe nafasi ambayo anaweza kuikubali ndani ya CCM labda awe PM kinyume na apo hana njaa ambayo inaweza mfanya achukue nafasi chini ya apo... Mbowe ni Tajiri tena Tajiri haswaaa
 
Mbowe sio mjinga hivyo ndugu
 
Siaz za ushabiki za hovyo sana😂
ushabiki maandazi sana

hawa machalii walioachiwa chama cha chadema aisee,it shows how incompetent they are

yaani badala watumie nguvu zao kupambana na ccm wanatumia nguvu zao kupambana na mzee wa chama chao aliowalea sijui wanapata faida gani?
 
Mbowe hawezi kujiunga CCM hata iweje.
kuliko aende CCM ataenda Chaumma

ni very funny mtu alishindwa uchaguzi,kawaachia chama kwa roho njema kabisa,lakini mpaka sasa Mbowe ndio topic nchi nzima na siku zinavyoenda ndio anazidi kua vinywani mwa hawa Chadema,sijui wamesahau nini kwa yule mzee?

Strange
 
Yaani kuongea leo polepole, baada ya nusu saa tetesi zimeshatoka kuwa nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

Moderator hii siyo tetesi ni uhuni kama aliokuwa anausema Polepole. Futa uhuni huu!
We msee unakuanga emotional sana.
 
aisee mnambagaza sana mbowe

kajenga chama tangu kina mtu mmoja mpaka sasa wapo milioni 8

halafu wewe maandazi unamtukana kwamba ni usalama ?

si angekiua mapema?

mpaka january 21 kilikua safi na hakijayumba,kawaachia ofisi,sasa kimeyumba mnataka mtupia yeye lawama sio nyie mlioko ofisini?
 
Inachukua miezi mingapi taarifa kusafiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…