Uchaguzi 2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

Uchaguzi 2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

TBC
Polepole ni sawa akitaja na kukashifu majina ya watu kwenye press yake akiwa live, ila upande wa pili mkisikia jina tu limetajwa, mnakata sauti

Haki huinua taifa
 
Mbona anakashifu wagombea wa vyama vingine badala ya kuongelea sera za ccm?!
 
Hivi kuna watu wanaweza kupoteza muda kumsikiliza polepole?
ndugai atafanya kampeni jimbo gani? nani anamjua? kwa lipi? wangekuwepo Mh. Sitta hapo sawa.
Alafu utasikia vyombo vya habari kama vyote ,mpaka ITVccm wakiipa kipaumbele hii Habari.
 
Tunasubiri tu muda ukifika naye mbelgiji arudi kwao.
 
Aisee nimecheka sana ..kuna waandishi eti wana note hotuba ya polepole!!
Tanzania waandishi wa habari ni wawili au watatu.

Jenerali Ulimwengu.
Hamza Kassongo.
Dotto Bulendu.

Uandishi wa habari kwa sasa hauna tofauti na upolisi.
Zero na daraja la 4 la mwisho ndio wanakimbilia upolisi na uandishi wa habari.
Atakayepinga aweke ushahidi.
 
CCM WENGI HAWATAINGIA MBINGUNI
Nimeandika thread hii kwa makusudi kutoka na matendo maovu ya watu wanaoitwa wana CCM. Ili mtu aweze kuwa ccm lazima akubali kuwa na sifa hizi zifuatazo.

1-Mnafiki sana, Yesu alisema ole wenu waandishi na mafarisayo kwa kuwa mnasafisha kikombe kwa nje ila kwa ndani kimejaa uchafu.
2-Muongo na mbadilisha kauli za watu wengine. asilimia 90 za wana ccm ni waongo sana sana
3-Muaji na mkatili. sasa hivi wana ccm wengi kuuwa kwao ni sifa ndio maana unakuta mtu anafurahia kushambuliwa kwa Lissu
4-Mueneza chuki na ubaguzi. ccm wengi wanaeneza chuki hasa viongozi wao wanaendelea kuwaaminisha wananchi kuwa wao ccm ndio watu na Raia wa Tanzania wengine wana uraia wa nchi mbili, kwa hiyo wanakusudia kuleta vurugu.
5-Mwizi na haramia mkubwa. ccm karibuni wote ni wezi ndio maana wanateteana ili asijekutokea mwingine au chama kingine kikawashitaki.
6-Propaganda za uongo. Takribani wana ccm wote ni watu wakueneza propaganda za uongo, ni wazushi sana sana.
Wana sifa nyingi mbaya unaweza kuendeleza orodha hii....

Ndio maana nasema kuwa ccm ni vigumu kuingia mbinguni
 
Sukari ilifika bei ya 1kg = 3500 na kuendelea haikuwa ongezeko la bei.?
Mfuko wa Simenti haujaongezeka bei tangu JPM aingie madarakani?
Muongee kweli sio mboyoyo mboyoyo!!
 
Tanzania waandishi wa habari ni wawili au watatu.
Jenerali Ulimwengu.
Hamza Kassongo.
Dotto Bulendu.
Uandishi wa habari kwa sasa hauna tofauti na upolisi.
Zero na daraja la 4 la mwisho ndio wanakimbilia upolisi na uandishi wa habari.
Atakayepinga aweke ushahidi.
KWELI MKUU..SERIOUSLY MTU UNANOTE NA KUSIKILIZA KEENLY!!
 
Bidhaa hazipandi bei. Kumbe huwa wanapandisha makusudi. Washushe sukari iwe 1800
 
Tujiulize. Mkutano unafanyika chato ambako hakuna chombo chochote chenye makazi yake huko. Sasa hawa waandishi walioko huko wamefikaje?

Ndio ile inayosemwa: Anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo.
Ukitaka kulifahamu hili angalia aina ya maswali yaliyoulizwa.
 
Polepole aache kusaka pointi za mezani, huyo Membe hajawahi kuwa mshindani wa kweli wa Magufuli. Mshindani wa kweli wa Magufuli ni Lisu. Kama Membe alishindana na Magufuli, basi ni wakati akiwa ccm sio nje ya hapo. Huyo Membe hata angekuwa anapiga kampeni usiku na mchana hana lolote jipya, hivyo asijifanye eti kakimbia kwa kuwaogopa ccm.
We dogo tumia common sense. Lissu analeta upinzani gani kwa JPM? Kwa mkutano kama wa Bagamoyo jana unaweza kusema analeta challenge zozote.
 
Buku 7 mna shida sana.
Kwani SADCC si zamu kila nchi sasa wewe unaandika upupu gani ?

Mmepanik kusikia BM atamwachia TL... sasa eti oh kakimbia itawahusu nini.

Bashiru kawaambia anzeni kujibu hoja sio blah blah... za ndege mbovu na flyover na miradi funded by EU lkn mnaongopa fedha za ndani.
Niliona umeandika pumba eti Chato ni tambarare pekee ndo maana airport imejengwa. Mbona haipo ktk budget approved, na hizo ndege mmenunua kama mihogo ?

Budget za wizara approved tuletee tuone...
 
Ni huyu ?
1599478612399.jpg
 
Ukisema kushuka kwa Diplomasia ni uongo, Mhe Magufuli ameingia tu madarakani akapewa Uenyekiti wa EAC, ameendeleza mwendo wa kubana matumizi, miradi mikubwa imefanyika, ameacha alama, SADC amefanya mambo makubwa, MSD inapeleka dawa nchi zote za SADC." - Humphrey Polepole.
Takataka hii
 
Back
Top Bottom