Uchaguzi 2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

Sisi tunajua mgombea na Rais ajaye yupo na anaendelea na kampeni huyu hapa
 
Mapuuza yamealikana kama yote halafu yanaongea utopolo tupu
Tunguli zimejamm this time.

Mgombea wenu Loketo ashaanza kulia lia mara pesa zimekata, mara oooh TBC hawaturushi live...

Rudi kazi yako ya kuhesabu miili monchwari
 
Aliyetamba akisikika twende na Membe 2020, jasusi asiyeshindwa ni nani?
Member ni jembe letu hakuna mwingine.
Leo unamkana Membe?

Tafuta popote nilipowahi kumfagilia Membe hata kwa utani, ukipapata nipigwe ban ya maisha hapa jf. Hiyo ni kuanzia nilipojiunga hapa jf miaka 9 iliyopita.
 
Tafuta popote nilipowahi kumfagilia Membe hata kwa utani, ukipapata nipigwe ban ya maisha hapa jf. Hiyo ni kuanzia nilipojiunga hapa jf miaka 9 iliyopita.
Punguza jazba, Chadema mnavuna mlichopanda. Kama unamjibu mtu jibu bila jazba.
 
Yaani huwezi amini CCM wanaamini anachoongea sasa hivi polepole ni bonge la point.
Tuna safari ndefu sana

Bwahaaaa bwahaaa, yaani nimecheka kwa nguvu kinoma. Yaani ccm wanajua kabisa hakuna mtu ana point kama jiwe na Polepole. Hapo wenyewe wanakuambia wapinzani weshajibiwa!
 

Hayo maswali wameandikiwa tayari, na majibu yako tayari. Kwa maneno marahisi hilo ni hizo. Halafu mzee kijana anasema wanafanya kampeni kisayansi. Fuatilia vizuri, utakuta tunaopata tabu na hii awamu ni sisi tunatumia akili zetu, lakini wajinga wana raha ya ajabu. Kuna mzee mmoja wa ccm juzi ana kitambi na ni mzee wa kanisa ananiambia, Magufuli amepiga kazi, ndio maana umeme uko kila mahali kwa ajili ya kukamilika kwa bwawa la SG! Yaani nilicheka kwa nguvu mpaka mke wake akafedheheka. Jizee jingine linaniambia Magufuli ni gumzo huko nje kwa jinsi alivyoitokomeza Covid!
 
Sio kukimbia yawezekana ikawa ni Break ya kujipa mapumziko mafupi! Pia ikumbukwe ACT wazalendo walishatangaza toka mwanzo kushirikiana na vyama vingine so yawezekana ni kutoa nafasi ya kuunga mkono vyama vingine! CCM wakisikia mashirikiano hayo roho inawaenda mbio, wao walikuwa wanafurahia Mambe aendelee ili apungunze kura za Likssu, aisee imebuma hiyo!
 
Hawa ndio kuna wakati walisema safari hii jpm asifanye kampeni asubiri kuapishwa tu

Nn kimebadirisha ghafla upepo, popo wameanza kutoka mafichoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…