Uchaguzi 2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

Ukisema kushuka kwa Diplomasia ni uongo, Mhe Magufuli ameingia tu madarakani akapewa Uenyekiti wa EAC, ndio ambavyo watu wanadanganywa..??
 

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema kwa utafiti wa kisayansi uliofanywa na Chama Cha Mapinduzi wakishirikiana na wataalamu umeonyesha Rais John Pombe Magufuli mpaka sasa ana asilimia 85% ya kura zote katika kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Tanzania.
 
😂😂😂😂😂😂 Kweli akili ni Nywele hata chakubanga ana zake.

 
Chadema wameshakata pumzi
Yaani unaposema Chadema wamekata pumzi au ndio kinyume cha Magufuli kuchemka na kutapatapa,eti tumetangaza ajira,tumeongeza mishahara kwa kupunguza kodi yaani mambumbu Ni wengi
 
Yaani unaposema Chadema wamekata pumzi au ndio kinyume cha Magufuli kuchemka na kutapatapa,eti tumetangaza ajira,tumeongeza mishahara kwa kupunguza kodi yaani mambumbu Ni wengi
Hamna hoja
Hamna sera
Hamna ukweli

Yaani vululu vululu.

Mara ooh wamezuia kibali cha helikopta kumbe mmekataliwa kibabu kisirushe ndege kisije kumdhuru Loketo wenu.

Hamsomeki
Hamueleweki
 
Your browser is not able to display this video.
ndiye huyo!?
 
Kama hamuwezi nunua sukari, nunueni asali
 
Mara hii mmeishakubali matokeo ya kushindwa? Jivuteni basi kidogo..!
Ni wanao jielewa tu ndio watakubali upinzan hawawez shinda urais nchi hii Tz kwa kura labda njia zingine.. Kwa kura upinzan ulishashinda mara nying sana ila tume humtangaza mtawala
 
Sasa kweli kumekucha baada ya tathmini iliyotolewa jana na vyombo vya kimataifa vinavyofuatilia kampeni za Uchaguzi hapa Tanzania,Chama Cha Mapinduzi kimeonekana kushuka sana na kukifanya kionekane kinazidi kuachwa mkono na wananchi na kimekuwa na asilimia 27.

Mwitikio wa wananchi umeonekana kushuka sana mbali ya kuwepo wasanii wa kila aina tofauti na siku ya uzinduzi huku Chadema wakionekana kuzidisha idadi ya wanaohudhuria kila wanaposogelea tarehe ya uchaguzi.

Tathmini Hio imeonyesha kupanda kwa chati ya mgombea wa Chadema kwa asilimia 71 huku ACT wazalendo mgombea wao haijulikani alipo na vyama vingine vikibaki na asilimia mbili.
 
Utafiti umefanyika kama Uchaguzi Mkuu utafanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89%
Na kama Uchaguzi Mkuu utafanyika October 28 Rais Magufuli atashinda kwa 97%

Ni vizuri Chadema mjue hili October msije mkaanza kulia kulia
 
Utafiti umefanyika kama Uchaguzi Mkuu utafanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89%
Na kama Uchaguzi Mkuu utafanyika October 28 Rais Magufuli atashinda kwa 97%

Ni vizuri Chadema mjue hili October msije mkaanza kulia kulia
Achana na utafiti wa kijinga wa polepole, huo Ni utafiti unaotaka kuwaaminisha wananchi kuwa CCM inakubalika ili watumie mwanya huo kuiba kura. CCM imekwisha anguka na Kama wananchi wataamua kulinda na kutetea kura zao walizo piga CCM kufikia saa mbili asubuhi tutaimbia kwaheri mwalimu.
 
Hivyo vyombo vya habari vijiandae kufungiwa na wahariri wake waandae kabisa kuonyesha yalipo makaburi ya bibi zao na babu zao
 
Hata hiyo 35% bado wameipendelea. Hakuna mwaka ambao ccm imechokwa na Watanzania kama mwaka huu wa 2020! Bila shaka mgombea wao ana cha kujifunza wakati huu.
Nasikia yupo kwao mbugani anakula bata baada ya kugundua kuwa watanzania wamemkataa
 
Utakuwa na mtindio wa ubongo si bure!
 
Nasikia yupo kwao mbugani anakula bata baada ya kugundua kuwa watanzania wamemkataa
Tunakazi zingine za Kirais leo tunaonana na Rais Museveni wa Uganda unafikiri sisi ni kula kulala kama wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…