Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema kwa utafiti wa kisayansi uliofanywa na Chama Cha Mapinduzi wakishirikiana na wataalamu umeonyesha Rais John Pombe Magufuli mpaka sasa ana asilimia 85% ya kura zote katika kinyang'anyiro cha kugombea urais wa Tanzania.
Yaani unaposema Chadema wamekata pumzi au ndio kinyume cha Magufuli kuchemka na kutapatapa,eti tumetangaza ajira,tumeongeza mishahara kwa kupunguza kodi yaani mambumbu Ni wengiChadema wameshakata pumzi
Hamna hojaYaani unaposema Chadema wamekata pumzi au ndio kinyume cha Magufuli kuchemka na kutapatapa,eti tumetangaza ajira,tumeongeza mishahara kwa kupunguza kodi yaani mambumbu Ni wengi
Kama hamuwezi nunua sukari, nunueni asali
Kampeni za CCM 2020 tunazifanya kisayansi, tumegawanya viongozi waandamizi wa chama kwenye maeneo tofauti. Msafara mkuu unaongozwa na Dkt. Magufuli, msafara mwingine wa Mhe. Samia Suluhu, na mwingine unaongozwa na Kassim Majaliwa, sisi hatutumii chopa." - Humphrey Polepole.
Mzee Jakaya Kikwete yupo Ukanda wa Kusini kule anavuruga, Mzee Pinda na Spika Job Ndugai nao wanaendelea. Muziki ni mzito mpaka sasa tunapozungumza kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni, tunafanya kampenzi za kisayansi." -Humphrey Polepole
Tangu Mhe. Magufuli aingie madarakani hakujawa na mfumuko wa bei, tumefanya kazi nzuri mno, bidhaa haiongezeki, Mhe. Magufuli amefuta kodi kwa wenye mishara midogo, hawa wanaosema ni wapotoshaji, tumelazimika kuwajibu, tunawaambia wasifanye siasa na hivyo." - Humphrey Polepole.
"Ukisema kushuka kwa Diplomasia ni uongo, Mhe Magufuli ameingia tu madarakani akapewa Uenyekiti wa EAC, ameendeleza mwendo wa kubana matumizi, miradi mikubwa imefanyika, ameacha alama, SADC amefanya mambo makubwa, MSD inapeleka dawa nchi zote za SADC." - Humphrey Polepole.
Tumefuatilia na kujiridhisha kwamba ni uongo mtupu, na TCAA imeshatoa ufafanuzi, lakini unajiuliza nini dhamira ya kusema uongo, kwamba mmezuiliwa kwenda kufanya kampeni maana yake unataka kupandikiza chuki, na hata hakukuwa na mpango wa safari"
Ni wanao jielewa tu ndio watakubali upinzan hawawez shinda urais nchi hii Tz kwa kura labda njia zingine.. Kwa kura upinzan ulishashinda mara nying sana ila tume humtangaza mtawalaMara hii mmeishakubali matokeo ya kushindwa? Jivuteni basi kidogo..!
Achana na utafiti wa kijinga wa polepole, huo Ni utafiti unaotaka kuwaaminisha wananchi kuwa CCM inakubalika ili watumie mwanya huo kuiba kura. CCM imekwisha anguka na Kama wananchi wataamua kulinda na kutetea kura zao walizo piga CCM kufikia saa mbili asubuhi tutaimbia kwaheri mwalimu.Utafiti umefanyika kama Uchaguzi Mkuu utafanyika kesho Rais Magufuli atashinda kwa 89%
Na kama Uchaguzi Mkuu utafanyika October 28 Rais Magufuli atashinda kwa 97%
Ni vizuri Chadema mjue hili October msije mkaanza kulia kulia
Utakuwa unamtindio wa ubongo si bure!!Hahahaaa!!Utasikia mabeberu, ila ni mabeberu hao hao walituambia tumeingia uchumi wa kati na taarifa tukazipokea kwa furaha.
Hivyo vyombo vya habari vijiandae kufungiwa na wahariri wake waandae kabisa kuonyesha yalipo makaburi ya bibi zao na babu zaoSasa kweli kumekucha baada ya tathmini iliyotolewa jana na vyombo vya kimataifa vinavyofuatilia kampeni za Uchaguzi hapa Tanzania,Chama Cha Mapinduzi kimeonekana kushuka sana na kukifanya kionekane kinazidi kuachwa mkono na wananchi na kimekuwa na asilimia 27.
Mwitikio wa wananchi umeonekana kushuka sana mbali ya kuwepo wasanii wa kila aina tofauti na siku ya uzinduzi huku Chadema wakionekana kuzidisha idadi ya wanaohudhuria kila wanaposogelea tarehe ya uchaguzi.
Tathmini Hio imeonyesha kupanda kwa chati ya mgombea wa Chadema kwa asilimia 71 huku ACT wazalendo mgombea wao haijulikani alipo na vyama vingine vikibaki na asilimia mbili.
Nasikia yupo kwao mbugani anakula bata baada ya kugundua kuwa watanzania wamemkataaHata hiyo 35% bado wameipendelea. Hakuna mwaka ambao ccm imechokwa na Watanzania kama mwaka huu wa 2020! Bila shaka mgombea wao ana cha kujifunza wakati huu.
Utakuwa na mtindio wa ubongo si bure!Sasa kweli kumekucha baada ya tathmini iliyotolewa jana na vyombo vya kimataifa vinavyofuatilia kampeni za Uchaguzi hapa Tanzania,Chama Cha Mapinduzi kimeonekana kushuka sana na kukifanya kionekane kinazidi kuachwa mkono na wananchi na kimekuwa na asilimia 27.
Mwitikio wa wananchi umeonekana kushuka sana mbali ya kuwepo wasanii wa kila aina tofauti na siku ya uzinduzi huku Chadema wakionekana kuzidisha idadi ya wanaohudhuria kila wanaposogelea tarehe ya uchaguzi.
Tathmini Hio imeonyesha kupanda kwa chati ya mgombea wa Chadema kwa asilimia 71 huku ACT wazalendo mgombea wao haijulikani alipo na vyama vingine vikibaki na asilimia mbili.
Tunakazi zingine za Kirais leo tunaonana na Rais Museveni wa Uganda unafikiri sisi ni kula kulala kama wewe!Nasikia yupo kwao mbugani anakula bata baada ya kugundua kuwa watanzania wamemkataa