humfatilii na unasoma habari kumuhusuPolepole ameanza kuniprove wrong. Inshort NAANZA kumpuuzia anaweza kua Yuko wright ila ana ongeza chumvi. Alafu anapanga tukio kubwa unasubiri ila akifanya halifanyi kwa ukubwa ulio kusudiwa SIKU HIZI hata simfatilii
Kwishaaaa
π π yupo pejePolepole unarembaremba nini, mwaga kila kitu bhana! Usisubiri mpaka wakuvamie hapo Mwananyamala Komakoma
Inabidi atoe na kitabu, kiwe kinakuja kwa series hivyo hivyo.Huyu pipo ameamua kutrend kwa namna yake.
Nimekusikia ndugu gpsum spanaLeo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo!
Anasema alipeleka ujumbe huo kwa muheshimiwa Rais, ambae pamoja na mengine alimwambia kuwa habari hizo akamwelezee msaidizi wake fulani ambae Ndugu Polepole hajamtaja.
Anasema pia palikuwepo dereva Taxi aliyekuwa akipewa bahasha na watu fulani aipeleke sehemu fulani. Siku moja dereva huyo alipewa bahasha ikiwa wazi/haijafungwa hivyo dereva alipata shauku ya kutaka kuona ni nini ambacho amekua akibebeshwa kwenye bahasha siku zote hizo. Ndipo alipofungua bahasha hiyo na kukuta list ya majina mengi ya watu/viongozi yakiwa yameandikwa kwa pamoja na codes zisizoeleweka, Anasema lilikuwemo jina la Rais wa awamu ya 5 na hata la kwake pia Polepole lilikuwepo!
Mwisho, Ndugu Polepole amemwambia muheshimiwa Rais wa sasa kuwa asiende kuchukua fomu kesho kwani kufanya hivyo itakuwa ni kuwatukana watanzania wote wanaoona mbali kuliko anavyoona yeye na hao waliomzunguka wanaomshinikiza kuchukua fomu na kuwania uRais.
Nimetafakari sana, wacha tuone!
Dereva tax sio boda boda, ukimsikiliza au umeamua ku criticize bila kumsikiliza?Polepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe bodaboda kweli?
Ndio vizuri, wananchiw ajue every uchafu ambao wakubwa wanafanyaHuyu jamaa ipo siku atakuja kuongea vitu ambavyo watawala hawapendi wananchi wavijue
Maana kilasiku anakuja na jambo jipya.
Jamaa mbona ni kama anatunga script hivi
unaogopa niniKwa nini kipindi kile ameambiwa a kujitokeza kusema mapema wananchi tukajua
Hapana mkuu Kuna vitu ukimtengenezea MTU taswira Fulani alafu aone tofauti inashusha shauku na maswali kibao. Tangu magufuli kafariki ni Miaka mingapi? NDO hayo yasemwe Leo mkuu tena KWENYE uchaguzi? JE haziwezi kuwa fitna za chaguzi?humfatilii na unasoma habari kumuhusu
Sina nachokiogopa ila unafiki kwanini hakutwambia wananchi tukajua maana ndo tulikua tumemuajiri JPunaogopa nini
Umesahau Walivyo MdedishaPolepole unarembaremba nini, mwaga kila kitu bhana! Usisubiri mpaka wakuvamie hapo Mwananyamala Komakoma
Dereva Taxi πππππππPolepole sasa anaanza mzaha. Bahasha ya siri kama hiyo iende wazi na apewe tax driver kweli?
Makosa ya kiuandishi, yote kwa yote barua kama hiyo haiwezi kuachwa wazi. Hata kama hao wahusika ni mazuzu kiasi gani.Dereva tax sio boda boda, ukimsikiliza au umeamua ku criticize bila kumsikiliza?
Anawaanda Kwanza,Akichoka kujibaraguza atasema atakacho naona anazunguka mbuyu tu taarab nyingi HIPHOP hamna!