Sikosi!Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.
Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-
1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).
Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.
Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.
Asanteni na Mungu awabariki.
NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 ππ½
Mmhhh, wala hata havina uhusiano. Yaani unataka kutuaminisha kinachoendelea ni mpango wa ccm? Ccm hawana akili za hivyo boss.Sisiemu Wana mbinu za Kila aina. Issue ya NRNE ndio ishazikwa hivo kupitia hizo hotuba za polepole
NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 ππ½
Hujamsikiliza wewe vizuri msimamo wake anaitaka rasmu ya warioba, walipoona katiba pendekezwa ndio inaenda kupitishwa waliaanza kampeni ya kuelimisha ikataliweComrade Polepole, hapoi!
Kwenye hii vita ya kupambana na wahuni, tuko pamoja. Ila kwenye ule usaliti wa kuipotezea Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, na pia kununua wapinzani wakati wa awamu ya tano ulipokuwa Katibu Mwenezi wa chama; hakika hatuko pamoja.
Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.
Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-
1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).
Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.
Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.
Asanteni na Mungu awabariki.
NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 ππ½
Umesikiliza hotuba yake ya juzi kweli!?Comrade Polepole, hapoi!
Kwenye hii vita ya kupambana na wahuni, tuko pamoja. Ila kwenye ule usaliti wa kuipotezea Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba, na pia kununua wapinzani wakati wa awamu ya tano ulipokuwa Katibu Mwenezi wa chama; hakika hatuko pamoja.
Unataka atumie mabavu Ikulu ndio muamini kuwa anasaidia?OK, does it help?
Mimi ni mmoja wa hao wadau wa kupotoshwa!Gentleman,
kwamba kuna wadau wako serious kabisaa kupotoshwa na mnafiki huyu asie na athari zozote za kisiasa?π
Huyu nae awe anaibuka ghafla tu, hii kutoa taarifa anasababisha you tube, Facebook na Instagram kuzimwa.Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.
Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-
1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).
Pia soma >> Press za Polepole kwa sasa hazina tija
Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.
Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.
Asanteni na Mungu awabariki.
NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 ππ½
Naunga mkono hiliAkiimgia LIVE wanazima mtandao sisi wengine tunafanya biashara ambazo zinategemea mitandao
Kwanini asitumie njia ya kuji-record na kupost .
Hapa ni waaaapi. ???!Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii.
Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;-
1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na,
2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM aliyejitokeza hivi karibuni na kudai mie ni mvamizi kwenye CCM, majibu yangu yatawagusa wenzake kadhaa ndani ya CCM (wanajulikana).
Pia soma >> Press za Polepole kwa sasa hazina tija
Kupitia ujumbe wangu kwake nitafafanua namna Mtandao wa kihuni unavyobagaza Nchi yetu na unavyofedhehesha Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ni wazi mkata swichi anakaa kimara na kwa tangazo hili hatakwenda atasubiria ofisini, hivyo mjipange ipasavyo.
Wale Diaspora na wanaofuatilia kutoka nje na wengine nchini nitaunga na Clubhouse ili mfuatilie mubashara na watu wa clubhouse leo ni zamu yenu maswali kujibiwa.
Asanteni na Mungu awabariki.
NB: Kwa wale mnaohitaji kuhakikishiwa amani ya moyo ili muwe na amani mnaweza kusoma Hagai 2:9 ππ½
The Watchman ndiyo ID ya ndugu Polepole. Watu wanataka kusikia nani alihusika kifo cha Dkt Magufuli, maana minongβono ni mingi huku Dkt Samia na Dkt Kikwete wakihusishwa
Kabisa !Knowing the truth that doesnt change a thing is a waste of resources.