Nyie kila anayesema ukweli mnataka afutwe uanachama, CCM sio chama cha familia kuwa akifa baba anarithi mtoto.Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
Ukiwaona watu wanakupigia makofi sana jitathmini mkuu maana sio kila anaepiga makofi amefurahishwa na kile ulichosema wengine wamechoka kukusikiliza wanataka umalize kuongea ushuke wawasikilize wengineKwa ufupi Kikwete ndio mvurugaji wa mambo
Very intelligent individual. Haya ya kumchagua Samia kihuni haikupaswa kufanywa. Nchi inapelekwa ki-imla imla.Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Kikwete anaendelea kuharibu nchi yetu, yeye na huyo Samia wake wameshanajisi nchi yetu.Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
inaonekana wewe ni shamba-boy wa mmoja wa wahuniKaangalie video ya mkutano mkuu waliounga mkono
Siyo Kikwete ni wajumbe
Kikwete ndie alimwibua Polepole aonekane kisiasa
Kuna haja gani ya kua na katiba ya Chama mkuu? Unaijua katiba ya Chama chako na umewahi kuisoma?Mkutano mkuu ndio mamlaka ya mwisho sio lazima hawahitaji chochote kuletewa na vikao vya chini hata yeye ajiandae akisikia tu mkutano mkuu umeitishwa aweza timuliwa CCM bila mkutano mkuu kuletewa mapendekezo toka chini kuwa afukuzwe uanachama
Kuzungumzia mchakato wa ccm bila kuutazama mchakato unaoleta haki kwa vyama vyote ni kutolitendea haki taifa. Kwa nilivyoelewa yeye anajali mambo yaende vizuir ndani ya chama, malalamiko ya wengine si tatizo kwake. Wahuni ni wengi.Mchakato wa CCM kumpitisha Samia kuwa Mgombea Urais 2025 haukuwa halali
Kusema ni mgombea mmoja ni makosa
Polepole asema kikao kilichotumika kumteua Rais kilikiuka taratibu na sheria za CCM. Ameendelea kusema suala la kutoa fomu moja na kupitisha mgombea kinyume cha taratibu ni kunajisi katiba ya CCM na unatia doa chama!
“January imefika, February mkutano Mkuu. Mkutano Mkuu wa kuchagua Makamu M’kiti. Tunaangalia LIVE, Mimi kutoka Cuba. Yule anatoa hoja kama vipi tumalize yote hapa hapa. Kikwete akachukua mic, akasema kama vipi tumalize yote hapa hapa. Nikasema NOOOO!”
Mtu mmoja kuchukua fomu ina tofauti gani na kumpitisha bila kupingwa?maana hata angechukua fomu angechukua peke yakeMuongo sio kweli
Mkutano mkuu ndio kikao cha juu kabisa cha chama waweza amua hata kuvunja kamati kuu au halmashauri kuu
Ndio wenye maamuzi ya mwisho kwenye kila jambo waweza hata amus kufuta katiba ya CCM iliyopo na kuleta mpya
Mkutano mkuu hawapo pale kama picha tu waweza puuza hata maamuzi ya kamati kuu au halmashauri kuu au chochote au kilichopitishwa na vikao vya chini au ambacho hakijapitishwa wao ndio hupitisha wagombea .
Katiba ni mali ya Mkutano mkuu sababu ndio uwezo wa kubadili au kuamua chochote
Mkutano mkuu hauwajibiki kwa kikao chochote cha chini
Walivyoamua Samia awe Mgombea pekee wako sahihi hawahitaji mapendekezo toka vikao vya chini kuamua
Ndio mkutano mkuu wa CCM ndio kikao cha juu cha maamuzi yoyote kuhusu chamaKuna haja gani ya kua na katiba ya Chama mkuu? Unaijua katiba ya Chama chako na umewahi kuisoma?
Uelewe kwanza Samia hajachukua fomu kuomba ateuliwe na CCMMtu mmoja kuchukua fomu ina tofauti gani na kumpitisha bila kupingwa?maana hata angechukua fomu angechukua peke yake
Hujajibu swali wewe mpumbavu katiba ya Chama ina kazi gani?Ndio mkutano mkuu wa CCM ndio kikao cha juu cha maamuzi yoyote kuhusu chama
Ni sawa Raisi yeye ndie mwenye maamuxi ya mwisho kwa chochote
Mapendekezo yaweza toka chini au ndani ya mkutano mkuu wenyewe na kufanyiwa maamuzi sio lazima kusubiri Mapendekezo ya Chini
sio polepole tu, wengi hatukutaki wewe raia wa zenjibar unae ng'ang'ania urais wakati uwezo huna, tumeapa lazima tukufurushe.Polepole kazunguka sana ila shida yake ni mama kuwa mgombea urais. Kaonyesha chuki yake waziwazi. Hakuna namna inabidi afutwe uanachama akajiunge na kina Heche.
Yaan kakikundi fulani kanaamua ndio mnasema mkutano mkuu are you stupid?Uelewe kwanza Samia hajachukua fomu kuomba ateuliwe na CCM
Mkutano mkuu ndio ulioamua hana fomu yoyote
Baada ya chama kufanya uteuzi fomu ataenda kuchukua kwenye tume ya uchaguzi
Tume ya uchaguzi humpa fomu mtu mmoja tu kila chama aliyeteuliwa na mkutano mkuu wa chama husika