The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
View attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Soma Luka Mtakatifu 15:7CHADEMA hakunaga msimamo wala maono. Leo Polepole shujaa wenu ambaye alishiriki kuwaminya kwa miaka karibu 6.
Sawa sasa kama Ni Ivo kwanini wewe unampangia Pole pole cha Kuzungumza?Usinipangie cha kuandika. Mama alianza vizuri ila mkataka kumpanda kichwani, wacha awaonyeshe yeye ni nani
Mkwara mbuzi unaotakiwa kukomeshwa kwa haraka? Mbona kama vile mkwara umewaingia kama mhogo wa jang'ombeView attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Anasema ukweli lakini. Na ndo kinachowauma, bila aibu mnazima mpaka mtandao kwa kumuogopa polepoleCHADEMA hakunaga msimamo wala maono. Leo Polepole shujaa wenu ambaye alishiriki kuwaminya kwa miaka karibu 6.
Samia kisha hudumia miaka kumi anatakiwa aondoke!! Ameshindwa kuongoza nchi kwani umasikini umekithiri nchini kwasababu ya matumizi mabaya ya rasilimali za nchi!! Rais anaongozana na magari zaidi ya Mia kwenda mikoani ; kweli huyu bibi anajua mzigo anaowabebesha wananchi masikini kwa safari za namna hiyo?Angekuwa "si lolote" usingem'mind'.
Umoja gani unaoengelea you pathetic little manView attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Acha udini kwenye siasa. Au unadhani watu wote ni wakristo?Soma Luka Mtakatifu 15:7
Wewe uoni anachoongea kinagusa maslahi ya taifa?Dawa ya watu jamii ya akina Polepole ni kuwapuuza tu kwasabu Kila kitu nchini kinaongozwa either kwa mujibu wa Katiba ya taasisi husika au kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.
Polepole anajipa umaarufu asio kuwa nao ni wakupuuzwa.
Kwani Chadema nao ni malaika?Angekuwa mwingine sawa! Ila nikikumbuka huyu alivyosaidia kuidhoofisha CHADEMA kipindi cha Magufuli namkataa!
Uoga ni ujinga, Mbona Mazinge anaijua Biblia kuliko juzuu?Acha udini kwenye siasa. Au unadhani watu wote ni wakristo?
Tatizo lako linaanzia kwa kinyongo chako na JPMDawa ya watu jamii ya akina Polepole ni kuwapuuza tu kwasabu Kila kitu nchini kinaongozwa either kwa mujibu wa Katiba ya taasisi husika au kwa mujibu wa Katiba ya Nchi.
Polepole anajipa umaarufu asio kuwa nao ni wakupuuzwa.
Mazinge ndo nani huko CHADEMA?Uoga ni ujinga, Mbona Mazinge anaijua Biblia kuliko juzuu?
Usiwe na akili kama za mtoto wa darasa la pili!!??CHADEMA hakunaga msimamo wala maono. Leo Polepole shujaa wenu ambaye alishiriki kuwaminya kwa miaka karibu 6.
Mama yako aliekuzaa kule leba ndio pathetic looser kuzaa kijusi km wewe kisijitambua ni laana kwa ukoopathetic loser