Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,029
Angalieni na nyie msije mkakohoa/mkapiga chafya huku mnahara...!! Msisahau;Anatishia kujamba ilhali anahara
Wakoloni walimwita Nyerere majina haya hayaView attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!
Issue sio alifanya Nini anasema Nini right now je kina make sense au lah! Mimi sio mshabiki vya vyama ila namuunga mkono yoyote yule anayepngea fact bila kujali anatokea chama gani ndugu sisi ndio wananchi ndio waathirika wa kila kitu tunatakiwa sisi tuwe maboss wa viongozi sio Viongozi ndio wawe maboss kwetu tukiwa hivi nchi itakuwa kwenye mstari mzuri hata maoni yetu yataheshima, hao viongozi mnaowashabikia wenyewe wameshajipataWakiovuruga masilahi ya watanzania ni yeye akiwa kwenye kikundi cha watu 5 kilichokuwa chini ya Magufuli 2016-21.
Mbona anaongea vitu vinavyo make hivi kusema Kuna wanamitandao wanakula Mali za umma na huwa wanakwepa Kodi ni vibaya? Kuhubiri tuwe na umoja wa kinchi ili tutatue migongano na manun'guniko ya wananchi juu ya haki za wananchi ni vibaya?Polepole anachokifanya ni anapanda mbegu
Katika mbegu kuna kuota au kutoota..
Sasa ikiota madhara yake ni makubwa baadae anatengeneza chuki ya ndani kwa kivuli cha kuwayengenezea uzalendo..
Unaweza dhani anapoteza muda ila ufahamu hakuna kitu kibaya kama hicho.
Hawana watu wa maana wamebakia kuokota makombo, watu wa maana wote wamekimbulia chama tawala yamebaki lialia ndio maana CCM haijihangaishi sahv, wamebaki kutafuta kiki kwa kufanya uhalifu, chadema bila kufanya uhalifu haiwezi kusikika tena, wataichokoza serikali wapate airtimeNdiyo uzembe wa CHADEMA huo. Hata Lowassa waliyemnanga kwa ufisadi walimsafisha.
Kazi yao kutakatisha wanasiasa waovu
Issue sio alifanya Nini anasema Nini right now je kina make sense au lah! Mimi sio mshabiki vya vyama ila namuunga mkono yoyote yule anayepngea fact bila kujali anatokea chama gani ndugu sisi ndio wananchi ndio waathirika wa kila kitu tunatakiwa sisi tuwe maboss wa viongozi sio Viongozi ndio wawe maboss kwetu tukiwa hivi nchi itakuwa kwenye mstari mzuri hata maoni yetu yataheshima, hao viongozi mnaowashabikia wenyewe wameshajipata
[/QUOTEfactd
Huo upupu ndio facts? Uwage na akili we bwege
Kwanini unatukana sasaHuo upupu ndio ha
Jitokezeni mumjibu wahuni nyieMnafiki na mwongo
Usipokubaliana na njia ya Bashe ya kutoa vibali ina maana ulitaka wale members wachache wa sugarcartel waendelee kuhodhi sukari na kisha bei kuwa juu?? Mwananchi wa kaaida anataka vitu 2; bidhaa na pili bei nafuu. Vyote hivyo viwili Bashe kapatia. Hizo tuhuma za rushwa kwenye vibali peleka mahali panahusika, TAKUKURUI am not talking about bei ya sukari, I am talking about how Bashe used the issuance of the sugar importation permits to corruptly make some loot!
Remember that the ccm financial enabler is Bashe’s godfather and hence he is behind all these dirty money making schemes!
Polepole ni kama popo tu. Kwanza hana mke, hana watoto na ndiyo maana mwenyewe anakiri kuwa hana malengo. Sasa ukiwa muumini wa mtu wa namna hiyo sijui tutakuweka kundi ganiMtu Yuko nje ya nchi ,Anaongea vile,wewe hujui waliyoko nyuma yake ni wa aina gani,tunategemea misaada labda kwa waliyonyuma yake,uliona yaliyotokea Libya na kwengineko ,then unaona Hana jipya?
My dear friend,anaweza kuwa na jipya jema au baya zaidi ambalo kuli contain itachukuwa miaka mingi sana!! Ogopa mtu aliyejivika uasi!! Mwasi Hana Cha kujali.ni Bora ukapatana naye mapema .Polepole anaweza kuwa mpinzani mbaya sana ambaye Tanzania haijawahi shuhudi.Mwongope binadamu .afadhali ukutane na simba kuliko binadamu mwenzako
Hiyo Novena ya TEC wala isitutoe kwenye reli. Yote hayo yametengenezwa na Fr Charles Kitima wa CHADEMA na kupelekwa kwa mapadre. Lakini kumuka kuwa waumini tuna mitazamo tofauti na hiyo TEC. Sanasana itaishia kuifarakanisha kanisa la Katoliki na wananchi wenh=gine.Angalieni na nyie msije mkakohoa/mkapiga chafya huku mnahara...!! Msisahau;
1. Kuna Novena
2. Kuna gwajima
3. Kuna Polepole
4. Kuna akina Mpina
wataongezeka tu
View attachment 3447709
Angeongea mtu mwingine ambaye hakuwa kwenye team ya Magufuli inge make sense. Albert Enstein aliwahi kusema "Problems can not be solved by the same mind that created them"Issue sio alifanya Nini anasema Nini right now je kina make sense au lah! Mimi sio mshabiki vya vyama ila namuunga mkono yoyote yule anayepngea fact bila kujali anatokea chama gani ndugu sisi ndio wananchi ndio waathirika wa kila kitu tunatakiwa sisi tuwe maboss wa viongozi sio Viongozi ndio wawe maboss kwetu tukiwa hivi nchi itakuwa kwenye mstari mzuri hata maoni yetu yataheshima, hao viongozi mnaowashabikia wenyewe wameshajipata
Wewe na Bashe na kundi lenu la wahuni ni vikaragosi wa Rostam Aziz ambae anawabebea akili zenu na kulihujumu Taifa!!Usipokubaliana na njia ya Bashe ya kutoa vibali ina maana ulitaka wale members wachache wa sugarcartel waendelee kuhodhi sukari na kisha bei kuwa juu?? Mwananchi wa kaaida anataka vitu 2; bidhaa na pili bei nafuu. Vyote hivyo viwili Bashe kapatia. Hizo tuhuma za rushwa kwenye vibali peleka mahali panahusika, TAKUKURU
Hoja tunazozungumzia Hapa ni darasa analofundisha Polepole kupitia clips zake ambapo anawaelimisha wananchi kuhusu utawala wa nchi yao!Bro kama sisi wananchi mkituambia kuhusu nani kazaa na nani. Nani mchepuko wa nani ndo tunazinduka, mtakuwa mnatudharau sana. Kifupi sisi ni bora kuliko hayo mauza uza
Now you have come to your senses! Given that you agree with Albert Einstein, do you think Samia is the right person to continue as President given the mess she has created in the country’s economy? She is a thief who should be imprisoned or hanged!! Ameuza bandari, mbuga za wanyama na mpaka migodi na nyie mahanithi wa ccm Bado mnakenua Meno tu!Angeongea mtu mwingine ambaye hakuwa kwenye team ya Magufuli inge make sense. Albert Enstein aliwahi kusema "Problems can not be solved by the same mind that created them"
Kutishia huko watu wamejua kua jpm aliuliwa, kutishia huko watu wamejua kua simu ilipigwa rostam akakabidhiwa mgodi wa makaa ya mawe Bure...kutishia huko watu wamejua mchakato wa kupata mgombea wa urais wa chama ulifanyika kimabavu, kutishia huko watu wamejua mfadhili mkuu wa genge la wahuni wanaoiharibu nchi ni rostam Aziz...baadae tena naamini kutishia huko watanzania watajua na mengine makubwa zaidi....kwaio Bora aendelee kutishia tishia tujue mengiAnatishia kujamba ilhali anahara
Jpm korona bana..hayo mengine ni roho za kimasikini tu kutaka kila mtu awe na maisha magumu kama weweKutishia huko watu wamejua kua jpm aliuliwa, kutishia huko watu wamejua kua simu ilipigwa rostam akakabidhiwa mgodi wa makaa ya mawe Bure...kutishia huko watu wamejua mchakato wa kupata mgombea wa urais wa chama ulifanyika kimabavu, kutishia huko watu wamejua mfadhili mkuu wa genge la wahuni wanaoiharibu nchi ni rostam Aziz...baadae tena naamini kutishia huko watanzania watajua na mengine makubwa zaidi....kwaio Bora aendelee kutishia tishia tujue mengi