Umeongopa hakukuwa na kosa la madawa ya kulevya kwenye makosa ya Akram Aziz. Acheni chuki za bila sababuWewe na Bashe na kundi lenu la wahuni ni vikaragosi wa Rostam Aziz ambae anawabebea akili zenu na kulihujumu Taifa!!
Huyu mwizi amehusika na kashfa zote za kuliibia Taifa letu ikiwa ni pamoja na kujihusisha na kuuza madawa ya kulevya!’ Rostam’s brother Akram aliwahi kukamatwa na madawa ya kulevya na ilibidi kaka mtu atoke mafichoni kuja kumtoa korokoroni!
Matusi ya kwangu ndio unayaona? Hao nyumbu wanaimbisha, unajibu accordinglyKwanini unatukana sasa
Ameuza bandari ipi? Mbuga gani za wanyama zimeuzwa? Watuita sisi mahanithi ila wewe waweza kuwa hanitji mpaka kwenye ubongo.Now you have come to your senses! Given that you agree with Albert Einstein, do you think Samia is the right person to continue as President given the mess she has created in the country’s economy? She is a thief who should be imprisoned or hanged!! Ameuza bandari, mbuga za wanyama na mpaka migodi na nyie mahanithi wa ccm Bado mnakenua Meno tu!
Korona ya kudungwa sindano ama...😂😂😂Kwaio polepole ni maskin anataka watu wawe maskin kama yeye..🤣🤣🤣Jpm korona bana..hayo mengine ni roho za kimasikini tu kutaka kila mtu awe na maisha magumu kama wewe
Kwahiyo shida yako mtu haziyetokana na serikali ya Magu Kama ni hivyo mbona Mama Samia alikuwa sehemu ya serikali ya Magufuli na unamshabikiaAngeongea mtu mwingine ambaye hakuwa kwenye team ya Magufuli inge make sense. Albert Enstein aliwahi kusema "Problems can not be solved by the same mind that created them"
Kama hamuwaogopi Chadema kwanini mnatumia mahakama kuwazuia kufanya siasa Huku mkiwafungia jela na kuwaua viongozi wao?Hawana watu wa ma
Hawana wa maana wamebakia kuokota makombo, watu wa maana wote wamekimbulia chama tawala yamebaki lialia ndio maana CCM haijihangaishi sahv, wamebaki kutafuta kiki kwa kufanya uhalifu, chadema bila kufanya uhalifu haiwezi kusikika tena, wataichokoza serikali wapate airtime
Hakukua na madawa ya kulevya kwaio una justify madawa ya kulevya kwa kukutwa na nyara za serikali..Umeongopa hakukuwa na kosa la madawa ya kulevya kwenye makosa ya Akram Aziz. Acheni chuki za bila sababu
View attachment 3448025
Polepole ana hela gani,au kisa ana-stream mtandaoni muda mrefu?Korona ya kudungwa sindano ama...😂😂😂Kwaio polepole ni maskin anataka watu wawe maskin kama yeye..🤣🤣🤣
Nasema ni Bora aendelee na kutishia watu ili hata yule mama wa sokoni mwenye smartphone na Facebook ajue makubwa zaidi ili ajue oktoba anaenda kupiga kura ama asipoteze muda akae afanye shuhuli zake
Sijajua labda utuambie si mwanachama mwennzenu? Wewe umesema anaaambukiza umaskin ndio nauliza kumbe polepole MASKINI anaambukiza watanzania umaskin? Bora lakini maambukizi yake ya umaskin watanzania wema wapenda Haki na wenye HOFU ya Mungu wamejua mengi na Bado mengine ya naanza kufumuka...kwaio maambukizi yake ya umaskin watanzania wameyapenda...Polepole ana hela gani,au kisa ana-stream mtandaoni muda mrefu?
Wanazima ili wafanye mambo yenye tijaPolepole angekuwa mwepesi Samia na genge lake wasingekuwa wanazima mitandao wakati anaongea
You are so stupid you don’t know even what’s happening in your backyard; wamasai wanalalamika nini juu ya ardhi. yao? DpWorld inafanya nini bandari ya Dar? Rostam kuuziwa mgodi wa makaa ya mawe ni kwa maslahi ya nani?Ameuza bandari ipi? Mbuga gani za wanyama zimeuzwa? Watuita sisi mahanithi ila wewe waweza kuwa hanitji mpaka kwenye ubongo.
Walihongwa fedha na kuyaficha madawa ya kulevya!! Lakini alipokamatwa alikutwa na cocaine period! Hayo mengine mnaleta ni mauza uza!Hakukua na madawa ya kulevya kwaio una justify madawa ya kulevya kwa kukutwa na nyara za serikali..
Magu alikuwa na magonjwa mtambuka kabla hata COVID-19 haijampitia., pia ba pacemaker yake kifuani ilikuwa chakavu. Tusitafute mchawiKorona ya kudungwa sindano ama...😂😂😂Kwaio polepole ni maskin anataka watu wawe maskin kama yeye..🤣🤣🤣
Nasema ni Bora aendelee na kutishia watu ili hata yule mama wa sokoni mwenye smartphone na Facebook ajue makubwa zaidi ili ajue oktoba anaenda kupiga kura ama asipoteze muda akae afanye shuhuli zake
Wamasai wamezidi idadi kwenye pori tengefu la Loliondo na Ngorongoro. DP WORLD amepewa mkataba wa kuendesha bandari ya Dar kama ilivyokuwa TICTS ya Karamagi.You are so stupid you don’t know even what’s happening in your backyard; wamasai wanalalamika nini juu ya ardhi. yao? DpWorld inafanya nini bandari ya Dar? Rostam kuuziwa mgodi wa makaa ya mawe ni kwa maslahi ya nani?
Unajifanya kipofu basi angalau jitahidi uone!
Ulikua na medical reports binafsi za kwake?Magu alikuwa na magonjwa mtambuka kabla hata COVID-19 haijampitia., pia ba pacemaker yake kifuani ilikuwa chakavu. Tusitafute mchawi
View attachment 3447330
Humphrey Polepole, aliyekuwa Balozi na Katibu wa Itikadi wa CCM, sasa ni mshindwa wa hali ya juu (pathetic loser) anayeandamwa na machungu, akidai kufichua siri za chama ili kuudhoofisha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Kauli zake za chuki ni za mtu aliyeporomoka, anayeishi kama kibaraka wa kundi hasimu linalovuruga amani na maendeleo ya Samia. Badala ya kushikilia misingi ya CCM, Polepole anachafua chama chake kwa vitisho vya kipumbavu, akionyesha wivu na kutokuwa na maadili.
Tabia yake ya kihuni inaonyesha wazi nia yake ya kuharibu umoja wa taifa kwa maslahi yake ya kibinafsi. CCM isikubali upuzi huu; Polepole ni aibu inayopaswa kukomeshwa haraka!