GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Slowslow sasa hivi ndio turufu ya CHADEMA
 
Huyu mwnaa mtandao kwenye episode ya nne atachafuka ajiandae kisaikojia
 
Ni kwanini wana CCM hawakuhoji Polepole alipopewa ukatibu wenezi ndani ya CCM, nafasi ambayo inamruhusu mtu aliyeishika kuwa na taarifa nyingi za siri ndani ya chama. Walikuwa wapi vijana walio waandaa kushika nafasi za uwongozi?
Kumbe Polepole ni stowaway yaani kama wadandia meli haramu.
Labda ndio sababu ya kushangaa V8.
 
Kwani ponjoro aliletwa na nani? Alipewa kazi na mweka hazina na nani? Salome Mbatia ameishia wapi?
 
Huyo mmoja jirani ya Rostam karibu na bahari Edo alipohama chama na yeye alienda naye akiwa mtu wa mikakati ya chini ya kapeti. Edo ilibaki asilimia ndogo sana kuiangusha CCM.
 
Huyu ni moja ya team wahuni walioiteka serikali ya sa100, kumbuka huyu ndiye aliyeshiriki pakubwa kumuingiza jk madarakani!
Marehemu Mengi alimuita FISADI PAPA!
 
Ukimpa heshima wewe inatosha, na hayo mambo chanya unayoyasema labda ni huko kwenye familia yako.
Sio familia yang tuh mpk wateja wangu na mtaa ulionizunguka .we kama hujaona faida ya Dp world itakua unaishi Kenya
 
Raia wa wapi huyu?
Rostam Aziz, stop attaking our hero. You have no legal or moral rights to comment on Hon Ambassador HPP. You are not only a foreigner in CCM but also in Tanzania. Go back to your burning Yemen where you are born. You among the many foreigner and corrupt invaders of our Party. CCM was a mass Party of Peasants and Workers before it was sold to corrupt syndicates by the 4th National Chairman, JK and since then this party ceased to be the mass party instead became a minority greedy members like you. Shame on you for attacking our revolutionary son of the Nation who has been courageous and heroic enough to condemn what is currently going on in our Party. He is not alone, but millions of real members are behind him and backs his move. So you better keep quite or if not go back to your hell country of Yemen. You have stolen eneough from our country coffers and resources.
 
Ponjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.

Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake!
Umaskini ni laana
 
Sijasikia akijibu hoja za polepole huyu ponjoro mwandamizi
 
Pole pole atasema yote Na hakuna anaejali Mambo yataenda kama yalivyopangwa tatizo wananchi hatupo serious kabisa, HAKUNA KITAKACHOBADILIKA .
Watu wapo serious, huyo sio kibajaj
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Kampuni kuna kipengele cha JV joint venture yote yanawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…