GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo naweza kukubali
Najua huyo utakuwa umemkumbuka. Ndio alikuwa hatari kwenye mtandao wao kwa mikakati migumu ya nyuma ya pazia kuliko wengine. Alienda Edo CDM na siku alipokutana na number 1 EDO na wenzie walianza kurudi CCM. Kundi lao lilikuwa na watu bright mno upstairs.
 
Huyo nakubali alisaidia sana kuwaimarisha na hata kupindua meza 2005.

Kundi kuwa na watu bright naweza kupibga, nachoweza kukubali ni lina watu wenye pesa. Mwenye pesa huwa mipango yake haivurugiki kirahisi ndio maana huonekana anatulmia akili. Mfano Rostam, anaweza kununua kila mjumbe, hivyo hata afanye mpango gani lazima tu mpango utafanikiwa
 
Mzee hujakaa na hao watu wawili Apm na Rostam. Kichwani wako vizuri pesa imewaongezea nguvu zaidi. Ni ngumu kuaminika na taasisi nyeti kama ni kilaza.
 
Mzee hujakaa na hao watu wawili Apm na Rostam. Kichwani wako vizuri pesa imewaongezea nguvu zaidi. Ni ngumu kuaminika na taasisi nyeti kama ni kilaza.
Mtu akishakua na power+pesa, lazima aonekane ana akili sababu mipango yake lazima itimie
 
Ebu niambie mkataba gan wa serikali unaoujua ww?
Mali unazomilik ni kiwanjana nyumba ila Kwa akili kama zako czan kama hata una kibanda
Maisha ni mazur ukifanya yako na serikal nayo ikafanya yake
Unajidai mwanaharakat unapigania nn?
Punguza hasira tafuta pesa
Serikal kupambana nayo huezi utapata ugonjwA wa moyo bure
 
Na huez shindan na mwenye pesa labda nawe utafute ndio mshindane .
Vinginevo ni kutafutia ndugu zako tabu .au naongopa mkuu
Inategemea mnashindana kwenye jambo gani. Kuna mambo yapo mengi tu utamshinda
 
Kama kipi waeza mshinda ?
Pesa ndio Kila kitu maisha ya saiv
Mwenye pesa haongei Sanaa yaan akiamua kukuekea dau bhc tunakusahau
Kimei ana pesa kuliko koola, lakini koola kamshinda kimei mara ya pili hii
 
Kaka zake rostam wote ni wasomi,wawili kati yao walisomea upailot uingereza
 
KIKWETE ANAKUAMBIA HUYO MUHUNI NA MUHALIFU NDIYO MZALENDO NO 1 ....KAMA KIFO CHA AJALI YA GARI CHA MTIKILA KINGECHUNGUZWA VIZURI HUYU MTU NA GENGE LAKE LA MAPONJORI WANGEKUWA WATUHUMIWA WA KWANZA.
Umesahau kifo cha ajali ya gari cha mweka hazina wa chama yule mama naniiii?
 
Inakusaidia nini wewe mlamba mavi ya mafisadi ?
Acha bangi mimi sina shida,ninajiweza vizuri tu,sijawahi kufanya kazi serikalini wala sina chama chochote lakini huo ukoo ni watu naowafahamu tokea utotoni na zaidi ya hapo nimekutana nao nhe ya nchi na tulikuwa tunatembeleana,kama umadikini wako unakusumbua bro fanya kazi,acha majungu
 
We kweli makalio umesahau thread yako uliyoandika mwaka jana kuwa umestaafu kazi na umeanza maisha nje ya kazi ? au hiyo kazi ulistaafu ushoga ?
 
Mgeni ana kamba mguuni?

Ila nataka kujua ccm kuwa mwenyeji unatakiwa uwe na sifa zipi?
 
We kweli makalio umesahau thread yako uliyoandika mwaka jana kuwa umestaafu kazi na umeanza maisha nje ya kazi ? au hiyo kazi ulistaafu ushoga ?
kustaafu ndio ila sikufanya kazi ya serikali mimi,nimefanya kazi na international ngo miaka yangu yote lofa wewe,na baadae nimefanya kazi ya kufundisha vyuo vikuu nchini kenya,sasa nipo home nikisimamia maua na bustani,na kufurahia maisha,sihangaiki kama wrwe ambae hata kunya kwenyewe kwa taabu lofa mkubwa we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…