GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rostam yuko sahihi.
Ni kweli kabisa halo halina ubishi, Polepole hana historia ktk chama bali alidandia treni njiani.
Kwa nini mnasema leo, na siyo kipindi kile alipoteuliwa? Kwa nini mnasema leo na siyo kipindi kile Jiwe alipomuondoa Amos Makala kwenye cheo cha ukuu wa Mkoa kutokana na uwezo wake mdogo wa kuongoza?
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Huyo ni dalali so anacho angalia yeye ni maslahi yake kwanza na wahuni wenzie aliosema pole pole
 
Mfuatilie upya Rostam mkuu.
 
Wewe ni miongoni mwa Wahuni wanaoitafuna nchi yetu. Wewe ni mwanamtandao kwenda zako!
 
Nafikiri hawafahamu vizuri. Ni kweli wawili ndio wametangulia. Edo na mzee wa mipango na mikakati mizito

Tena na mimi nimesahau Bwana waliotangulia ni manguli watatu.
Membe, El na Six, halafu kuna wale wengine ambao hawakuwa maarufu kama yule masai mwingine wa juzi kati hapa.

Watu wanavyosikia Mtandao wanafikiri ni kakundi ka watu wawili watatu it's a mob.
Kuna mpaka mke wa mstaafu wa marehemu naye ni member wa La Cosa nostra ilihali mumewe hakuwa na alikuwa against nao.

ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan
 
Pole pole Hana ushawishi wowote ndan ya ccm wala Hana ukubwa wa kutisha
Ndio maana wanamuacha ajiropokee ila alivuka mipika ya kuropoka ataungana na lisu
 
Sawa CEO wa Dp!
 
Fact versus History which is the best one? Slow slow is on Fact dock but Ponjoro is on Historical dock
Rostam yuko sahihi.
Ni kweli kabisa halo halina ubishi, Polepole hana historia ktk chama bali alidandia treni njiani.
 
Aisee nakumbuka yule Jamaa duh!!
 
Pole pole atasema yote Na hakuna anaejali Mambo yataenda kama yalivyopangwa tatizo wananchi hatupo serious kabisa, HAKUNA KITAKACHOBADILIKA .
Nakubali

Tujiandae kuletewa uzushi na mambo ya hovyo kama ya Babu wa loliondo ili kuzima hili seke seke la pole pole
 
Hahahahaha RA yamemchoma!!Sasa bado nani kama Boss wa wote ametoka pangoni
 
Watz wengi akili hawana wanatumia mihemko na hisia tuh.
Kama rostam angemtetea pole pole hapa angetukuzwaa balaaa
Ila ndio hivo ukisema serikal Iko vizur unaitwa chawa upuuzi mtupu


DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
 
Azizi wewe una usafi gani kumkosoa polepole au tufukue makaburi ya KAGODA.
 
huyu bwana namfahamu sana,baba yake alikuwa na urafik na baba yangu na tulikuwa tunaenda kumtembelea baba yake huko mwisi wilaya ya igunga.baba yake alikuwa anatoa usafiri wa bure kwa wagonjwa wote wa mwisi kwenda nkinga hospital.aliajiri dereva na akaweka gari ilikuwa inapaki nje ya duka lake,iwe usiku au mchana mgonjwa akizidiwa anaenda hapo anapewa usafiri wa bure.baba yake alikuwa na roho nzuri sana na ndio alikuwa tajiri wa eneo la nkinga,igunga,nzega,bukene,tabora.sasa ukubwani tukapotezana na hatujawahi kukutana tena,hata sijui kama anaweza kunikumbuka tena rostam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…