fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
rostam atasingiziwa mengi lakini mimi najua kuwa rostam ana migodi australia,irani kule caspian seas,huyo jamaa ni tajiri mkubwa sana kwa miaka mingi sana,anyway ni vigumu kuwazuia watu kutunga uongoWakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Kama Polepole apati sapoti ya umma, kwanini watawala wanazima mitandao au unaongelea umma gani?Ndugai alikuwa ni mkia wa Magufuli, hata kama aliongea ukweli matendo yake bado yanamuhukumu leo.
Ndio maana hata Polepole ni ngumu kupata sapoti ya umma, yeye ni sehemu ya matatizo tuliyonayo leo, alikuwa high table wakati shetani anasimika mifumo ya hovyo yeye anaturingishia V8!
Mimi Rostam kumiliki mgodi siwezi kushangaa Je amefuata vigezo na masharti yanayotakiwa basi maana hata Mwadui hana hisa nyingi sana Alafu wanasema MO ni tajiri number moja Fack Forbes
Hilo halina shida tena, Mzee wa Ms0geR alishalimaliza. Unazikumbuka safari zake za USA za mara kwa mara?Kama namuona mzee baba Trump anavyotuangalia. Tusubiri tamko lake soon labda kama mzigo anapelekewa yeye
bro achana nao we wakubalie tu hivyohivyo wasemavyoUranium haiwezi safirishwa na Malori mkuu nazani unazungumzia makaa ya mawe
We unaonekana akili huna na umejawa na chuki na ni mdini sana!Ina maana haya madini ya uranium ndiyo yanapelekwa Iran kutengeneza mabomu ya kuimaliza Israel, yaani kama ndiyo hivyo tutegemee vifo zaidi maana EU na USA hawatakubali
Hahahah aisee nimecheka sana mama.Upepo mbaya kila upande
Bro humu kuna watu bila facts zozote wanatuhumu watu vibayaWe unaonekana akili huna na umejawa na chuki na ni mdini sana!
Nani alikwambiaga Afrika ni chimbo la waarabu kuchota mali kwa ajili ya kujinufaisha?! Na kama ni hivyo basi yameanza miaka ya hivi karibuni na kwa kificho sana! Miaka yote wazungu ndo wenye kuchota hapa na kujichukulia tu… nani alikwambia Iran wanatoa malighafi hapa?!
Fikiri kabla hujaongea… akili au umri viendane na matamshi au maandishi
Hivi uranium inaweza kusafirishwa kiulaini laini namna hii? I wonder!Makaa ya mawe au uranium?
ROSTAM AZIZI NI JAMBAZI HATARI SANA ...SASA TUJIULIZE VIPI YUPO CCM ..NDIYO MAANA NILISEMA KAMA JPM ANGEMMALIZA HUYU KIUMBE HADI LEO ANGEKUWA HAI ...LEO CHADEMA WANA ANGAIKA NA WATEKAJI ILA MIMI NAWAAMBIA JEURI NA PUMZI YA WATEKAJI NA WAUAJI NCHINI NI HUYU ROSTAM AZIZI ...HUYU ANAONGA HADI MABALOZI .....Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Sema lamda tujijeuze ndani ya shuka sio kuamka. Sisi bado sanaNatamani watz tuamke tuwe na umoja jamani
Hakuna kosa, haya kojoa ulale sawa mtoto mzuri,,!Sawa Sasa Kuna kosa?
Ndugai alisema nchi itauzwa....wamemfanyaje?Natamani watz tuamke tuwe na umoja jamani
🚮🚮🚮kosa kubwa sana. hasa kama hayo madini yanapelekwa kwa nchi kinara wa kufadhili ugaidi dhidi ya Israel.
Mnakosea sana mnapomjumuisha Ndugai kwenye orodha ya Wazalendo wakati hakuongea hayo kwa uchungu bali zama za Sukuma gang zilishapita.Ndugai alisema nchi itauzwa....wamemfanyaje?
Hakuna kosa, ngoja nchi ifilisiwe, ifilisike, idaiwe, iporwe. No body cares. Haina mwenyewe. Watanganyika wao washangiliaji.Sawa Sasa Kuna kosa?