Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

JOMO KEMYATTA alivyosema Tanzania ni Nchi ya maiti ambao hata kuamka hawawezi alikuwa na maana hii, Wadanganyika ni watu wa kuibiwa tu
Mtu kama Rostam Aziz ana skendo kibao za miaka na miaka lakini BADO YUPO NA HAMUMFANYI KITU
 
Ikiwa CCM imeshitakiwa mahakamani, kwanini isipelekwe kesi mahakamani kuwa Rostam anafanya biashara haramu ya makaa ya mawe?
 
JOMO KEMYATTA alivyosema Tanzania ni Ncho ya maiti ambao hata kuamka hawawezi alikiwa na maana hii, Wadanganyika ji watu wa kuibiwa tu
Mtu kama Rostam Aziz ana skendo kibao za miaka na miaka lakini BADO YUPO NA HAMUMFANYI KITU
Utamfanya nini Rostam wakati Rais anasafiri naye kwenye safari za nje kama delegation ya Wafanyabiashara?

Rostam alitaka kufunga account za kampuni zake Crdb Dr Kimei na Top official wa Crdb walifanya kikao cha kumbembeleza abadili maamuzi na kikao kilifanyika nchini Singapore ndio akakubali kuendelea na bank ya Crdb bank ingefirisika.

Hayo majitu yaone hivyohivyo hayapo Forbes kama yule Mwamed Dewji wa Simba mpenda hype hamfikii hata chembe ukwasi wa Rostam.
 
Mnakosea sana mnapomjumuisha Ndugai kwenye orodha ya Wazalendo wakati hakuongea hayo kwa uchungu bali zama za Sukuma gang zilishapita.

Hakuna spika wa hovyo Tanzania kama Ndugai aliyeuwa bunge letu na kulisalimisha kwa serikali.
Mpaka wakamzawadia soko porini huko dodoma kwa jina lake!
 
Write your reply...machedema mengi majinga na mapumbavu kuyadanganya ni rahisi sana hivi ureniam mnadhani ni kama mchanga unachima kisha unapakia kwenye lori na kusafirisha unavyotaka isijulikane hata na usa.
Chifelah
 
Kosa walifanya Ccm ni kumpa uweka Hazina....wakati ule,hakuchezea fursa
 
Kosa walifanya Ccm ni kumpa uweka Hazina....wakati ule,hakuchezea fursa
Wakati anapewa uweka hazina ni tayari Billionare na Bingwa wa mikakati.

Ni utaratibu wetu waswahili uweka hazina tunampa mtu asiye na njaa hata akigusa pesa yenu mkihitaji anawarudishia fasta tu.

Kwenye Dowans nako ametuwasha jamaa.
 
Inawezekana ili deni lilikuwa planned ionekane Tancoal wameshindwa kulipa ili ROSTAM achukue hisa. Hii nchi ina wahuni wengi.

Nipo hapa Tolabora nalima mboga mboga.
 
Wakati anapewa uweka hazina ni tayari Billionare na Bingwa wa mikakati.

Ni utaratibu wetu waswahili uweka hazina tunampa mtu asiye na njaa hata akigusa pesa yenu mkihitaji anawarudishia fasta tu.

Kwenye Dowans nako ametuwasha jamaa.
Huyu jamaa kila Deals zenye utata yumo.
 
JOMO KEMYATTA alivyosema Tanzania ni Ncho ya maiti ambao hata kuamka hawawezi alikiwa na maana hii, Wadanganyika ji watu wa kuibiwa tu
Mtu kama Rostam Aziz ana skendo kibao za miaka na miaka lakini BADO YUPO NA HAMUMFANYI KITU
Sema wabongo mnapenda sana kuwatuhumu watu pasipo hata na uwezo wa kuthibitisha hizo tuhuma mnapotakiwa kufanya hivyo, ili mradi tu umemsikia mwanasiasa fulani karopoka.
 
Mchangia mada hanywi hata maji? Anyway hebu tuwaachie watu wale kutokana na urefu wa kamba zao!
 
Tanganyika by the time wanapatikana watu wazalendo kwelikweli, nothing will be left of it anymore.
 
Hili mbona linajulikana hata kwenye list ya matajiri wakubwa Africa?
Jamaa ana makampuni ya Madini mda mrefu ila kuna mengine hayasemwi ila kwa madini yumo sana
 
HATUNA JESHI WALA TUSIBWABWAJE MANENO.
 
Chama tena kuingia kwenye biashara hii imekaaje hii. It should stay away from politics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…