Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

Huyo Chakubanga mgonjwa wa zika tumeshampuuza
 
Lisu anakosea sana kujibizana au kutunishia misuli mamlaka..madhara yake yeye mwenyewe anayajua.
 
Ujinga huu mmezidiwa Mwaka huu Hamna rangi mtaacha ona Lissu cyo Lowassa
 

Katiba ya nchi inasema tume haipangiwi kazi wala kuingilia na mtu yoyote wala kuchunguzwa kwa matendo yake. Hivi huyo 'slowslow' hajui katiba?
 
Ponapona ya CCM ni kuendelea kuwa na katiba mbovu inayompa madaraka makubwa raisi.Vinginevyo hawana ujanja.Mwaka huu upinzani ukikomaa wasiibiwe CCM hawana chao ni kurudi tu chato!
 
Chakubanga vipi maelekezo yako kwa tume yamefanikiwa we Pimbi ? Humjui Lissu unamsikia tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…