Huyu chakubanga ni hatari kuliko koronaMwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Hii inaonesha tume inaamuliwa naccm nini kifanye.Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Ole wenu afe mtu mmojaUnafahamu maana ya nguvu ya umma?! Unadhani hao kwenye mikutano ya Lissu wenu ndiyo nguvu ya umma?! Unadhani kumuua Mlelwa ndiyo nguvu ya umma? Unadhani kushinda mitandaoni kuandika hili la like dhidi ya JPM ndiyo nguvu ya umma? Hujui nguvu ya umma wewe....fanyeni fujo after October 28th ndipo muone nguvu ya umma...
Kwenye mwili, ukimtazama mabegani kushuka chini anaonekana kama kijana lakini uso ni wa mzee. Labda ni mchanganyiko wa kijana na kikongwe. Lakini akili kwa uhakika ni ya kikongweHivi Pole pole huwa na Mzee au ni Kijana???
Kwa hiyo ccm mlimtuma mkurugenzi wa uchaguzi amwite Lissu na sasa unatishia afanye mtakavyo? Ni yeye Lissu 202pMwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Duh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jina la ukoo wake umeathiri ukuaji wauelevu wake. Polepole tuliyemfahamu kwenye tume ya katiba siye huyu, inawezekana kwenye ziara za wachina CCM walibadilishiwa wakachomekewa Polepole feki.
usiishie hapo kwanza ana akili za kishirikinaKwenye mwili, ukimtazama mabegani kushuka chini anaonekana kama kijana lakini uso ni wa mzee. Labda ni mchanganyiko wa kijana na kikongwe. Lakini akili kwa uhakika ni ya kikongwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole wake kwani ni lazima kila agizo mnalomuagiza Kampeni Meneja wenu (Mkurugenzi wa NEC) alitekeleze? mengine anapima hata kama alishajitoa akili. Pole pole shule yake ndogo hawezi elewa haya mambo magumu kwakeMwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Kuna stage tatu wanazopitia wagonjwa wa UKIMWIMwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.
Chanzo: TBC
My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.
Maendeleo hayana vyama!
Interesting...CCM haiwezi kuua watu wake...serikali haiwezi kuua watu wake...ila magaidi wa chadema tayari wameshaua mtu..wamemuua Mlelwa huko Njombe...bado vitisho vinaendelea kutika mdomoni mwa baadhi ya wanachadema wajiwemo viongozi wait kuwa wataingia mitaani kwa madai ya wanachoita kuporwa ushindi wao kwenye uchaguzi utakaofanyika oktoba 28...yaani chadema wamejitangazia ushindi hata kampeni hazijamalizika na kura hazijapigwa...Sasa watanzania kwa mamilioni wamekaa kinya kusikilizia hapo baada ya Oktoba 28 Hawa magaidi watafanya Nini..Ole wenu afe mtu mmoja
Ndiyo maana hamuwezi kupata ridhaa ya kuongoza nchi..Tuliza kinyeo chako pumbavu wewe.
Polepole ana nguvu gani kisheria ya kumwambia mtu ole wake, kwani yeye ni mtumishi wa NEC.
Ridhaa iyo itapatikana tukipata Rais mwanamke kabla ya uchaguzi mkuu oktoba 2020Ndiyo maana hamuwezi kupata ridhaa ya kuongoza nchi..