GE2025 Polepole: Ule mkutano waliotisha wa Online wa CCM, ulikuwa wa kwenda kumtoa mgombea mwenza (Nchimbi)

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Duuh, KIKWETE everywhere....ina maana kweli bado ana maamuzi makubwa hivi kwenye chama?
 
Sasa hoja ni nini? Assume wangemtoa Nchimbi ndio hoja yake mama ingekuwa imefanyiwa kazi?

Unahisi kweli jambo kama hilo la kubadili mgombea mweza linaweza kwenda kufanyika online tu kirahisi kama hivyo?
 
Write your reply...nilikua nakiamini sana hiki kijamaa sura nzee kumbe kiongo namna hii
 
Hii inaonekana wazi kabisa, uko juu nako hali si shwari, sijui samia anafikiria kwa kutumia nini, kama uko juu wamekuteka, uku raia hawakutaki, usalama wako unatokea wapi, huoni kama uko mbele kuna kiza kikubwa.
 
Ni dhahiri, Polepole hana msaada wa maana kwa waTanzania.

Hizi porojo zake hazisaidii lolote kupambana na Genge la Samia Suluhu Hassan.

Ni kama anawapotezea wenye lengo la kuondoa huu uchafu muda tu basi.

Habari za akina Nchimbi kuwepo au kutokuwepo, zinasaidia kitu gani katika hali ya sasa!
 
Hii inaonekana wazi kabisa, uko juu nako hali si shwari, sijui samia anafikiria kwa kutumia nini, kama uko juu wamekuteka, uku raia hawakutaki, usalama wako unatokea wapi, huoni kama uko mbele kuna kiza kikubwa.
"Huko mbele" wapi tena, wakati mwafaka kabisa ni huu, sasa hivi!

Wasubiri aapishwe tena na kuwafunga minyororo wapinzania wake wote kwa kutumia madaraka yake mapya?
 
Wewe unamsaada gani kwa watanzania?
Pumbavu wahead!
 
Polepole naye amebaki kuwa kiroporopo baada ya kugundua watz wanamtumia kupata vihoja vya kujadili mitandaoni ila hana impact zaidi ya hapo. Hopeless.
Wewe layman huwezi kuelewa anachokizungumza Polepole kwa sbb code anazotumia kufikisha ujumbe wake zinamhusu Samia na genge lake la wahuni...

Kule ndani alikotoka wanaelewa vizuri sana na wanaiona hatari iwapo atalipua bomu kuu

Na hapo walipo wanamtafuta ili kum - silence lakini hawataweza maana wao ndio wanaokwenda kuwa silenced very soon..!
 
Bora ajikite huku kwenye mambo ya udhalimu wa CCM, I am all in support of his endeavour against majizi,

Lakini aache kuongelea mambo ambayo hana technical knowledge nayo, he sounds stupid. Mfano kusema type 2 diabetes ina dawa kwa mtu mwenye uelewa wa pathophysiology ya ugonjwa hawezi ongea ujinga huo (hiyo ni life condition) you got to understand insulin resistance and how you get to that stage. Once you reach that stage there is no coming back, it becomes a management health condition hakuna dawa ya ku-reverse insulin resistance.

Kuongelea NHIF pricing awajipangii bei tu out of the blue. Fisadi Ummy mwalimu aliwahi mleta mtaalamu (mshauri wake) akatoa maelezo ya kina ya hesabu za services costing za kupanga dawa na gharama za huduma za afya kama msingi wa malipo yao (that’s how health insurance make payments decisions)

I support Polepole wholeheartedly but he should stop offering advise on matters he knows nothing about; otherwise he just sound bitter and stupid.
 
Tatizo lenu wabongo ujuaji mwingi na vielimu vyenu vya kukariri.
Polepole anesema anayembishia atoke hadharani ili yeye aweke ushahidi wazi.
Wewe unakuja kubishia humu JF?

Unadhani Polepole ni fala aongee kitu ambacho hajakitafiti huku akijua kwa sasa anamaadui wanaosubiri kumkosoa ili kumpunguza nguvu zake za ushawishi?
 
Wabongo ni mambulula wameshikwa akili na huyu kichwa pumbu
Ukinamnaga tu unaambulia matusi
 
Uwezi kuongelea diabetes hasa type 2 kama hujui hata mchakato wa chakula unachokula taratibu za mwili kugeuza kuwa glucose.

Shughuli ya glucose kwenye mwili ni ipi, inasambazwa vipi mwilini, excess glucose inakuwa stored wapi na vipi mwili ukishindwa kupokea glucose (hapo ndio mwanzo wa type 2 diabetes). Sasa ni sababu zipi zinafanya mwili ushindwe kuhifadhi glucose.

Diabetes type 2 isikie tu, ukielewa pathophysiology ya huo ugonjwa mwili lazima ukusisimuke. Huo ugonjwa auna dawa mwili ukishafikia hatua ya insulin resistance wa kuhifadhi glucose (story ni ndefu) to how you get there. My god kinachofuata baada ya hapo ukiwa na excessive glucose kwenye damu (ndio msingi wa diabetes) ni balaa.

Sema mungu niepushe na ili gonjwa, hakuna dawa ya diabetes popote duniani ya kutibu huo ugonjwa completely. Dawa za diabetes ni ku-manage observed side effects zinazoonekana (that’s why it’s called silent killer).

Overall ukishakuwa na diabetic ni wewe kuji-control, vinginevyo high glucose kwenye blood stream unakuwa vulnerable to 100 other medical conditions.

Ukiielewa pathophysiology ya diabetes ni ujinga wa hali ya juu kusema kuna dawa ya diabete. Simply huyo mtu hajui pathophysiology ya ugonjwa wenyewe; it’s just stupid to say kuna dawa.

Kuhusu NHIF kupanga bei tafuta clip kipindi cha mgogoro wa watoa huduma na malipo ya NHIF. Yupo mtaalamu mmoja (Dr) ambae apparently ni trained in management decisions making akidadavua mambo. Kwa jicho la nje uwezi elewa mambo aliyokuwa anaongelea ni kwa misingi ya ‘services costing’ in accounting terms kwenye maamuzi yao ya viwango vya kulipia gharama huduma za afya na dawa.

NHIF hawajaamka asubuhi moja tu na kujibunia viwango vyao vya malipo ya dawa na huduma kwa services providers; kuna accounting rationale.

I support Polepole zidi ya majizi, lakini kuna maswala anaongea ujinga tu ambao hana uelewa nayo.

Sio kila kitu hapo hakina doa kuna mapungufu mengi sana, ila Polepole hana wit ya kuyatolea ushauri, he just comes across as stupid.
 
Duuh!

Kwa hiyo mkuu hata ukipata HIV unailaumu serikali?

Kwamba ile tabia ya wabongo ya kuwa na wapenzi 10 +, kuokota okota hovyo na kutokutumia kinga nalo ni tatizo la serikali? Adanganye wajinga aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…