Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Na Tundu Lisu wala asipoteze muda wa kumjibu huyu mchumia tumbo lake maana tumeshamjua Ni kilaza Fulani ambae haiwezi kusimamia Jambo lake mwenyewe
Kwani mgombea wa chama cha Mbowe hayuko hapo kwaajili ya kuchumia tumbo lake..?😂 Tegemea kuletewa hela Sasa.
 
Hata Tanzania ile ya wakati wa tume ya Jaji Warioba, sio hii ya sasa, kwa hiyo sioni ajabu yeye kubadilika kimtazamo as long as yeye sio robot kimawazo.
 
Polepole ni mtetea tumbo lake,hana jipya!

Aisee huyu jamaa amepwaya,naona ni kumshambulia Lissu tu!
Anamtukana Lissu kuwa ni laghai,tapeli na ibilisi!

Ninachoona ni CCM wamepanic!
Unapohatarisha ugali wa mtu ama watu lazima utaitwa majina yote mabaya, CCM walitegemea kila watakakopita basi wananchi wawakenulie meno kuwashangilia kwa ajili ya stiglaz goji, ghafla imekuwa kinyume chake! Wananchi wako taabani mifukoni.
 
johnthebaptist,

Linganisha uwanja wa Chato na hiyo Singida na Mpanda

Tupe namna mkandarasi wa kujenga uwanja wa Chato alivyopatikana na mkataba wa ujenzi. Gharama zake nk (rejea sheria ya manunuzi ya Umma). Je bajeti ya ujenzi huo ilipitishwa bungeni? Kama ndiyo tupe Hansard husika; kama sivyo ni kwa nini, na pesa hiyo inatolewa kwa mfumo upi?

Mimi nadhani Polepole angekaa kimya maana hiyo santuri ya uwanja wa Chato ilishaanza kukwaruza sasa yeye anaipatia upya tena!
 
Watajitokeza Sana kujieleza, sisi tunaenda na lisu na wataumia huko mbele baadae wao watukane Lakini wajue kuwa magufuli ni mwizi. Jambazi, mbaguzi na mtesaji wa wananchi
Hata wabunge 5 mkifikisha itakuwa miujiza, sembuse urais!!!
 
Hahahaah hawa akina Polepole sijui wanajiamini nini kuwa watashinda kwa kishindo.
 
Hata wabunge 5 mkifikisha itakuwa miujiza, sembuse urais!!!
Sasa unasema wabunge watano Wakati mikoa kumi wabunge wote ni chadema? Acha kukariri wewe, upende kujiaminia kuiba, wenzio wanajua kuwa hawana chao ndio maaana wanatumia tume kuokoa jahazi wewe unasema ujinga, ndio abood angetumia mabilioni kumzuia Yule mdada wa Moro mjini? Wenzio wanajua ndio maana wagombea wa Ccm wameacha kampeni wanahangaika kuwahonga wasimamiz wawwsimamishe
 
Hata Tanzania ile ya wakati wa tume ya Jaji Warioba ,sio hii ya sasa,kwahiyo sioni ajabu yeye kubadilika kimtazamo as long as yeye sio robot kimawazo.
Mkate wa kila siku.
 
Back
Top Bottom