Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Nilikuona wamaana sana kumbe kichwani mweupe tu,umejaa chuki za kipuuzi,hivi unawezaje mtu kua raisi kwa kupigiwa kura na kabila moja tu? Unaanzaje kutukana kabila zima kwa kosa la mtu mmoja? Ficha upumbavu wako.
 
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Bado kuna nondo nzito Pole Pole hajazishusha zitashushwa siku zijazo.

Wanaulizia pesa za ujenzi wa viwanja vya ndege na ununuzi wa ndege kaidhinisha nani wakati Hansard za bunge zipo na zinaweza kupatikana zikihitajika.
 
Kikubwa babu wewe Faham kuwa watanzania tumemkataaa huyo katirir wenu, Mkoa wa Mara woooote tuko pamoja no katiri wenu huyo na tutamshikisha adhabu Halafu mtakimbia kufuta Picha zenu kwenye fb si Kwa sasahivi mkitukana mnajiweka na Picha? Mtazifuta, jitu limekatariwa hata na kwao Mimi nalitakia nini? Nitakuwa nimerogwa
 
Bado kuna nondo nzito Pole Pole hajazishusha zitashushwa siku zijazo.

Wanaulizia pesa za ujenzi wa viwanja vya ndege na ununuzi wa ndege kaidhinisha nani wakati Hansard za bunge zipo na zinaweza kupatikanahitajika.
Msilazimishe Mambo ukweli Watanzania wenye akili tumewaelewa na tunajua Nini cha kufanya oct
 
Mwaka huu mmekamatika bwashee nilikuwa kyela kijiji cha kasumulu sikuamini wale wazee wanasema magufuli akapumuzike kwa kweli yani maparachichi ndizi zetu tunapeleka sokoni kuuza tunaambiwa kitambulisho se se akapumzike kwa kweli hayo ni maneno ya kina bibi wa kasumulu kyela na uzuri nipo na tour ya kuzunguka kila mkoa na baadhi ya vijijini ki ukweli CCM safari hii msijidanganye vijijini huko mna hali mbaya sana kuliko hata Mimi nilivyo kuwa nikifikili kumbe watu walikuwa na yao moyoni

Kwa sasa naelekea sumbawanga mwimbi na mambwe nimejitolea kifanya hii kazi bila kulipwa chochote na mtu
Hata Tanzania ile ya wakati wa tume ya Jaji Warioba ,sio hii ya sasa,kwahiyo sioni ajabu yeye kubadilika kimtazamo as long as yeye sio robot kimawazo.
 
Katiri kwako uliyezoea kuiba, ufisadi. Watanzania wengi (asilimia 89 -95) wanamkubali na watamchagua tena. Ushindi wa kishindo.
 
Upo vizur kamanda big up
 
Heeee unataka aendelee kuuuwa watanzania wenzetu? Tunauchungu na watanzania wenzetu babu weweeee
Hilo suala la watu waliouwawa unalisema sana. Hebu toa mifano ndugu yetu ili tufahamu ukweli wako. Umeambiwa kuwa wale waliouwawa nanyi tumekutajia kwa mfano WANGWE na SAANANE, wewe hututajii. Hatumtaji Lissu mliyemkosakosa kwa risasi za ndege kwa nia ya kumzuia asigombee Uenyekiti huko CHADEMA; mlimpa ONYO KALI ndiyo maana alijirudi na kuomba Umakamu Mwenyekiti.

Tunayasema haya baada ya kusemwa na kuelezwa na viongozi wengi wa CHADEMA waliokuwa wakiratibu mambo haya. Kama hujui mtafute Ex- Kamanda mmoja ambaye kwa sasa yuko Njombe na kajiunga na CHAMA CHA MAPINDUZI na kaamua kusema njama zote. Lete uongo mwingine ili nasi tumwage mboga humu JF kwani tunajua mengi ila tunakuwa wastaarabu tu kwa mustakabali wa MAMA TANZANIA yrtu.
 
Mbona huyo Polepole amemjibu Lissu? Tehteh mamilioni ya Watanzania watamwamini Polepole kuliko Lissu.
 
 

Attachments

  • VID-20200925-WA0002.mp4
    4.9 MB
Kuna viongozi mmoja wa Chadema huwa anavaa Kama Savimbi mwaka 2015 alimpiga mwandishi wa habari ngumi na mateke...ile kesi nadhani ilimalizwa nje ya mahakama.
 
Nani katiri zaidi, yule anayeUWA, KUANGAMIZA NA KUWAPA WENZAKE ULEMAVU wa kudumu kwa hamu ya MADARAKA au nani!?
 
Mzee umeua hapo naona mazingira ya kyela kabisa maana naona michikichi upon pamoja nami mzee
 
haya wajumlishe hao 100 na 50 uone utapata kura ngapi
Sasa hao ni wa mtaaa mmoja tu Tanzania ina mitaaa mingapi? Hivi unadhani Jambo Kama lile la juzi la mgombea wa Ccm kbukoba Vijijini kufukuzwa na wananchi kwenye mkutano hivi unadhani lile ni Jambo Dogo?
 
Polepole anatupa wakati mgumu sisi tunaokipigia kampeni chama chetu Pendwa 🙁
Mmmh kadi yako ya Chadema tafadhali...yaani nyie kweli mmeshindwa propaganda...yaani wewe ni Chadema halafu unajifanya CCM kimaandishi...duh
 
Kwa taarifa yako ni kuwa wasemayo hayo hapo KASUMULU ni wahamiaji haramu kutoka nchi jirani, hata Kiswahili chao si unakisikia ni cha kuunga unga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…