Ngoja tumsikilize kwanzaPolepole aache kututisha
Leo ndiyo anajua madhara ya mtu kuvamiwa na kutekwa?
Tuachane nae huyu ni mnafiki tu anayehamisha magoli ya kudai haki.
Kama dadke katekwa yy si anawajua watekaji huyu
Kamwe nchi ya Cuba haiwezi kuizidi nchi ya Urusi kwenye suala hili la kuwafanyia udhalimu wale Watu wanaotofautiana kwa mawazo au fikra na Watawala wa nchi zao. Urusi ndio nchi inayoongoza hapa duniani kwa Utawala wake kuwawekea sumu wakosiaji wa Utawala.Unaifahamu Kuba wewe in Polepole's voice🤣🤣🤣
WasiojulikanaWatu gani hao walioruka ukuta wa nyumba ya dada yake?
Hifadhi za kisiasa na ukimbizi wa kijinsia ni vitu rahisi zaidi kupataUnafirikria kwenda kuishi nje ya nchi ni kama unaenda kijiji cha Igurubi ?
Shida sio kuacha kazi labda kama akili zako ndogoNashindwa kuelewa ukiacha kazi unachukiwa na pia ukiendelea kufanya kazi pia unachukiwa nashindwa kuelewa hawa watu wanataka nini?
Kuzidi ukoo wenu woteUna elimu kiasi gani ?
To each, their own....Mkuu unajua Sana kujiliwaza, flight or fight...
Wakuu!
Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."
Andiko lake limekuja masaa kadhaa kuelekea mkutano wake na Vyombo vya Habari baada ya kutangaza kusogeza mbele kutoka Julai 17 hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi.
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
==
Updates
"Kwenye saa tano usiku dada yetu, dada yangu mkubwa alimpigia simu mama yangu akamwambia kuna watu wameruka ukuta wameingia nyumbani kwake anaishi huko Bahari Beach. Na wakasogea mpaka kwenye nyumba wakamuambia wamefuata taarifa," ameeleza Polepole kwenye video aliyoiachia kwenye ukurasa wake wa Instagram.
"Toka wakati huo saa tano, dada yangu simu yake haipokelewi. Tumejaribu kwenda pale nyumbani, watu wameona kuna magari, kuna Landcruiser, kuna Noah ambazo zilikua maeneo ya nyumbani mpaka muda huo wa saa tano na baadae," aliongeza zaidi.
"Na watu wengine ambao sio jamaa zangu [walionekana]. Kwa sababu dada yangu anakaa peke yake, wanafungua geti la nyumbani wanaingia wanatoka, baada ya muda tena wanarudi. Mimi nilitaka kusema, mimi sikai kwa dada yangu, na kama kuna mtu ananitafuta mimi, namba zangu zinapatikana," alifafanua zaidi Polepole ambaye amesema ataongea na Umma leo saa tano.
Soma zaidi
Dunia gani hio?Dunia nzima imeshangaa kuna Mwafrika huko katema ubalozi
Labda awe kweli ni mkimbizi wa kijinsia, nakumbuka alikutwa na vaseline...Hifadhi za kisiasa na ukimbizi wa kijinsia ni vitu rahisi zaidi kupata
Alisha watukana sana kipindi kile yuko matawi ya juu kwa magufuliMwanachama wenu Kawa mwigizaji leo...ila angemtukana Lissu na chadema mmngemfurahia sana
Kwa taarifa yako, wa ccm wanaitwa chawa. Nyumbu ni nyie wa chama kile kingine msioshirikisha bongo zenu kwenye kufikiri. Sisi tusiokuwa na vyama hatumo kwenye hayo makundi.Unaongelea nyumbu kumbe hujijui kuwa wewe binafsi ni nyumbu mkubwa zaidi hata Mbugani nyumbu ni wengi kama nyinyi ibirisi wa ccm mlivyozubaa
Aangalie Malinda ya dada yake Kisha aje atupe jibu usikute ndo wale wale kote anavaa pumpersWakuu!
Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."
Andiko lake limekuja masaa kadhaa kuelekea mkutano wake na Vyombo vya Habari baada ya kutangaza kusogeza mbele kutoka Julai 17 hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi.
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
==
Updates
"Kwenye saa tano usiku dada yetu, dada yangu mkubwa alimpigia simu mama yangu akamwambia kuna watu wameruka ukuta wameingia nyumbani kwake anaishi huko Bahari Beach. Na wakasogea mpaka kwenye nyumba wakamuambia wamefuata taarifa," ameeleza Polepole kwenye video aliyoiachia kwenye ukurasa wake wa Instagram.
"Toka wakati huo saa tano, dada yangu simu yake haipokelewi. Tumejaribu kwenda pale nyumbani, watu wameona kuna magari, kuna Landcruiser, kuna Noah ambazo zilikua maeneo ya nyumbani mpaka muda huo wa saa tano na baadae," aliongeza zaidi.
"Na watu wengine ambao sio jamaa zangu [walionekana]. Kwa sababu dada yangu anakaa peke yake, wanafungua geti la nyumbani wanaingia wanatoka, baada ya muda tena wanarudi. Mimi nilitaka kusema, mimi sikai kwa dada yangu, na kama kuna mtu ananitafuta mimi, namba zangu zinapatikana," alifafanua zaidi Polepole ambaye amesema ataongea na Umma leo saa tano.
Soma zaidi
OkLabda awe kweli ni mkimbizi wa kijinsia, nakumbuka alikutwa na vaseline...
Kwenye ukimbizi wa kisiasa, naona hujui kitu kabisa
Hata huyo Lissu mpaka leo hana hadhi na hajapewa ukimbizi huko Belgiji,
Mbona uandishi wako hauakisi hilo ?Kuzidi ukoo wenu wote
Kuanzia kiwango cha elimu na nchi niliyosomea