Uchaguzi 2020 Polepole: Zitto Kabwe atafute kazi nyingine, 2020 hatarudi Bungeni

Jamaa simpendi huyu sura kama mzee anaroho mbaya kama bosi wake.
 
Oh! Kwa hiyo successes na failures za utekelezaji wa masuala ya maendeleo kwenye majimbo na kata zote ni matunda ya CCM, siyo? Natumaini mtakumbuka hili kwenye kampeni, na siyo muanze kuwaponda wapinzani kwa kushindwa 'kuleta' maendeleo kwenye majimbo na kata zao.
 
Mh Rais mwenyewe alitoa mwisho Iwe mwezi wa 11 mwaka jana(2017)
Yy nani Mr Buyer Slow slow!??[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Anadhani Kigoma kuna malofa wapumbavu.
Chini ya upinzani maendeleo yaliyominywa miongo kadhaa yanaonekana.
Najiuliza tu HIVI SLOWSLOW ndio mpiga kura wa Kigoma?
 
Anaongelea mambo ya 2020 wakati tar26/4/18 nasikia raia wataingia mtaani yangu macho
 
Mkuu jina maarufu wanaitwa "MALOFA WAPUMBAVU"
ELIMU BILA KUJITAMBUA SAWA NA UKARIRIFU WA KASUKU
 
Anamhamisha yeye? Afanye kilichompa kiti
 
Huyo polex2 mfuasi wa shetani anatekeleza ushetani kuharibu umoja wa taifa letu kwa garama yeyote.Kwa siasa za kijanga na ushamba.
 
Elimu, elimu, elimu hili ni tatz kubwa Sana kwa watz tulio wengi hata hyo polepole.hv anajua majukumu ya serikali kw wananchi kwl? ,hv anajua jukumu la mbunge n nini? ,hv anadhani serikali kupelek miradi kwa wananchi n hisani wachague ccm au?.Tuna safr ndefu kuondoa hizi dhana mufilisi za kina polepole
 
Akamuulize sabufa aliyemwambia atamfunga mdomo ZZK bungeni yu wapi sasa.. Ulimi ni kiungo kidogo sana ila kina maajabu sana
 
Badala ya kuhangaika na majimbo yanayoongozwa na upinzani wangejikita kwenye majimbo masikini kupindukia yanayoongozwa na wana ccm, mfano Kongwa kwa Job, Chemba kwa Nkamia, Mtela kwa Kibajaji, Kilindi, Pangani na mengineyo! 90% ya majimbo yanayoongozwa na Ccm ni masikini mno na hawana muda nayo! Ila Polepole ni miongoni mwa watu wanafiki sana!
 
Nani amemruhusu kuzungumza hayo wakati sasa si wakati wa siasa? double standards
 
Mabilioni anayovuna kwenye huu mradi haramu wa kununua wapinzani uchwara yamempa kiburi sana huyu chakubanga.
 
Wewe Polepole , polepole , polepole endelea kura huo mkate wa ukatibu ila sisi watu wa kigoma huwa hatupendi utani wa kitoto kama huu tunakuomba uachane na Zitto lasivyo tusije tukalaumiana.
 
Naona anatafuta kibali cha matibabu kwenda India.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…