Nani huyu?
Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.
Hizi aibu kwa jeshi hili zimepita kiasi, Ila kadiri wananchi tunavyoondoa hofu ndivyo ambavyo wao wanapoteza nguvu yao.
Namuonea Huruma huyo Bodaboda, hizi sio nyakati za kubishana na serikali, hayo mafuta hayazidi 20k
Eti jamani! Wangemlamba makofi akili ikae sawa.Sijui kwanini Bodaboda wa hicho kijiwe hawajachoma moto hiyo takataka 🚮
Imeniuma sana. Wanamuangalia tu badala waruke nae🚮Eti jamani! Wangemlamba makofi akili ikae sawa.
SanaAna bahati.
Kazi ni kipimo cha utu
Sisi watanzania ni wazuri sana wa kukosoa. Nchi yote wananchi hawajitambui na ujanja wetu uko kwenye keyboard tu. Wote hapa wanaolaumu hao boda, hata wao wangekaa kimya. Nchi ingekuwa na watu wanajijua sasa hivi Samia na genge lake angekuwa jela au amekimbia uhamishoni.Imeniuma sana. Wanamuangalia tu badala waruke nae🚮
Kwahiyo mimi ni keyboard worrior?😅Sisi watanzania ni wazuri sana wa kukosoa. Nchi yote wananchi hawajitambui na ujanja wetu uko kwenye keyboard tu. Wote hapa wanaolaumu hao boda, hata wao wangekaa kimya. Nchi ingekuwa na watu wanajijua sasa hivi Samia na genge lake angekuwa jela au amekimbia uhamishoni.
Ndiyo. Kwa maelezo ya huyo boda. Sikiliza video vizuriNi kwamba huyo policcm amegoma kulipa nauli?