Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Hapana. Polisi ana mshahara. Kwanini asilipe nauli?Hii yote ni sababu ya vita ya Marekani na Iran

Siyo wewe tu mkuu, ni asilimia kubwa ya watanzania pengine hata mimi nipo. Nchi ambayo wananchi hawajui kuonyesha hasira zao huku maisha yao yakiwa hoi bina taaban.... yaani hatuoni ku-correlation kati ya uongozi wa nchi na matatizo yetu.Kwahiyo mimi ni keyboard worrior?😅
Hii picha tutatengeneza Bango kubwa tutaipandisha pale makutano ya Mandela/morogoro roadNani huyu?
Ndiyo. Kwa maelezo ya huyo boda. Sikiliza video vizuri
kwani mnanitafuta gentleman?Mwisho wa siku Lissu atakapochukua nchi tutakuwa na reconciliation na baadhi ya watu watasamehewa lakini kuna watu kama wewe tutawasaka tu na kuwapata na utatueleza vizuri...Technolojia haitatudanganya tutakupata tu. Just a matter of time
Kwa jinsi jeshi la matapeli wa CCM walivyo na roho za kichawi hapo watasema huyo jamaa alikaidi amri ya askari, katika awamu jeshi ya polisi limepoteza credibility ni wakati wa uongozi wa huyu muhuni wambula yani huyu msenge jeshi limemzidi na alipewa nafasi ambayo haiwezi kabisa au nayeye ni tapeli kabisa sio kiongozi huyu
Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.
Hizi aibu kwa jeshi hili zimepita kiasi, Ila kadiri wananchi tunavyoondoa hofu ndivyo ambavyo wao wanapoteza nguvu yao.
We jamaa uko sawa kweli ? kwahiyo unataka kutuambia kwamba kwa sasa askari polisi ana uhuru wa kumtenda vyovyote raia na raia akae kimya kabisa, bora nife nikidai haki yangu maninaNam
Namuonea Huruma huyo Bodaboda, hizi sio nyakati za kubishana na serikali, hayo mafuta hayazidi 20k
Mkuu usiweke sana matumaini kwa wanasiasa,Mwisho wa siku Lissu atakapochukua nchi tutakuwa na reconciliation na baadhi ya watu watasamehewa lakini kuna watu kama wewe tutawasaka tu na kuwapata na utatueleza vizuri...Technolojia haitatudanganya tutakupata tu. Just a matter of time
Uwenda alihisi ni mabox ya kura😂😂😂😂😂
Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.
Hizi aibu kwa jeshi hili zimepita kiasi, Ila kadiri wananchi tunavyoondoa hofu ndivyo ambavyo wao wanapoteza nguvu yao.
Aieee hiyo ni biashara bro, kwa hiyo amzungushe mtu for free kisa kavaa gwanda hell noNam
Namuonea Huruma huyo Bodaboda, hizi sio nyakati za kubishana na serikali, hayo mafuta hayazidi 20k
Huenda ni kanuni ya kibabe "unanijua mimi ni nani?"
Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.
Hizi aibu kwa jeshi hili zimepita kiasi, Ila kadiri wananchi tunavyoondoa hofu ndivyo ambavyo wao wanapoteza nguvu yao.
Umeongea point sana..Nam
Namuonea Huruma huyo Bodaboda, hizi sio nyakati za kubishana na serikali, hayo mafuta hayazidi 20k
Kuna mmoja hapa...Ndiyo maana wake zao huku mtaani ni burudani Kwa wote