my friend umemaliza hapa na kwa kweli bongo kama bongo mtu anaweza akaongea kitu online ukajua anaweza kumbe ndio ovyo kuliko hata bata. Hilo tukio lingelitokea mfano kwa kasongo sasa hivi ni mengne yangelikuwa yanaongelewaSisi watanzania ni wazuri sana wa kukosoa. Nchi yote wananchi hawajitambui na ujanja wetu uko kwenye keyboard tu. Wote hapa wanaolaumu hao boda, hata wao wangekaa kimya. Nchi ingekuwa na watu wanajijua sasa hivi Samia na genge lake angekuwa jela au amekimbia uhamishoni.