rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Pikipiki ni ya nani mbona inakabidhiwa kwa mlinzi? Pia anaedaiwa hela hapo ni nani mbona bodaboda ni kama ndio anakunjwa shati, poti kama ndio mdaiwa mbona haondoki eneo Hilo ili yeye ndio awe anazuiwa!? Au mi ndio sijaelewa
Noma sana