Polisi adaiwa kumkodi Bodaboda na kukataa kumlipa baada ya kumzungusha kwa saa 1

Tusubiri ufafanuzi wa hiyo picha mjongeo!

BTW: Askari polisi wa Kanda Maalum Tarime-Rorya hawezi kujihami kwa meno,huyo ni DSM moja
bila shaka.
 
Mwisho wa siku Lissu atakapochukua nchi tutakuwa na reconciliation na baadhi ya watu watasamehewa lakini kuna watu kama wewe tutawasaka tu na kuwapata na utatueleza vizuri...Technolojia haitatudanganya tutakupata tu. Just a matter of time
kwani mnanitafuta gentleman?

na kwamba mimi binafsi kabisa, ati nikose kua sehemu ya maridhiano na serikali, surely?

halafu,
kwanini mnahangaika kunitafuta mathalani, hali ya kua nipo na ninapatikana 24/7 but with appointment?

si useme tu uko wapi gentleman nikujie fasta sana? 🐒
 
Kwa jinsi jeshi la matapeli wa CCM walivyo na roho za kichawi hapo watasema huyo jamaa alikaidi amri ya askari, katika awamu jeshi ya polisi limepoteza credibility ni wakati wa uongozi wa huyu muhuni wambula yani huyu msenge jeshi limemzidi na alipewa nafasi ambayo haiwezi kabisa au nayeye ni tapeli kabisa sio kiongozi huyu
 
Uwenda alihisi ni mabox ya kura😂😂😂😂😂
 
Huenda ni kanuni ya kibabe "unanijua mimi ni nani?"
 
Nam

Namuonea Huruma huyo Bodaboda, hizi sio nyakati za kubishana na serikali, hayo mafuta hayazidi 20k
Umeongea point sana..
Ila kwa haraka haraka watu watachukulia poa ila ni fact moja kubwa sana aiseee..

Sasa hapo assume atawekwa ndani.
Na raia hamna cha kufanya wanaishia kutukana tu huku mitandaoni ila hamna kitu.

Kuna sometimes kuwa mpole tu kwani shi ngapi bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…