my friend umemaliza hapa na kwa kweli bongo kama bongo mtu anaweza akaongea kitu online ukajua anaweza kumbe ndio ovyo kuliko hata bata. Hilo tukio lingelitokea mfano kwa kasongo sasa hivi ni mengne yangelikuwa yanaongelewaSisi watanzania ni wazuri sana wa kukosoa. Nchi yote wananchi hawajitambui na ujanja wetu uko kwenye keyboard tu. Wote hapa wanaolaumu hao boda, hata wao wangekaa kimya. Nchi ingekuwa na watu wanajijua sasa hivi Samia na genge lake angekuwa jela au amekimbia uhamishoni.
√√√100%Sisi watanzania ni wazuri sana wa kukosoa. Nchi yote wananchi hawajitambui na ujanja wetu uko kwenye keyboard tu. Wote hapa wanaolaumu hao boda, hata wao wangekaa kimya. Nchi ingekuwa na watu wanajijua sasa hivi Samia na genge lake angekuwa jela au amekimbia uhamishoni.
Nyie ndio mnavamiwa mnapigwa miti na mkeo wote kwa pamoja … hiyo sehemu yake ya ridhiki ni redline hata kama unyonge hapo mwishoNam
Namuonea Huruma huyo Bodaboda, hizi sio nyakati za kubishana na serikali, hayo mafuta hayazidi 20k
Sawa endeleeni kushindana- hawachekeshi siku etiNyie ndio mnavamiwa mnapigwa miti na mkeo wote kwa pamoja … hiyo sehemu yake ya ridhiki ni redline hata kama unyonge hapo mwisho
Hao watu sijui wamepatwa na nini wamemwaga chakula mtaroni haijachukua muda mrefu wanang'ata watu meno
Serikali imeng'ata dole la bodaSijui kwanini Bodaboda wa hicho kijiwe hawajachoma moto hiyo takataka 🚮
🤣🤣🤣 Kitengo alichotoka homeboi hata ukimuangalia tu usoni unaona kabisa Kuna nafsi za watu zinamlilia....katika awamu jeshi ya polisi limepoteza credibility ni wakati wa uongozi wa huyu muhuni wambula yani huyu msenge jeshi limemzidi na alipewa nafasi ambayo haiwezi kabisa au nayeye ni tapeli kabisa sio kiongozi huyu
Huyu jamaa kabla ya kuwa IGP record yake ilikuwaje maana ni mtu wa hovyo sana ukilinganisha na madaraka aliyo pewa🤣🤣🤣 Kitengo alichotoka homeboi hata ukimuangalia tu usoni unaona kabisa Kuna nafsi za watu zinamlilia....
Makazi ya watu magumu hayo 😁😁Huyu jamaa kabla ya kuwa IGP record yake ilikuwaje maana ni mtu wa hovyo sana ukilinganisha na madaraka aliyo pewa
Anaweza kutekwa huyo bodaNam
Namuonea Huruma huyo Bodaboda, hizi sio nyakati za kubishana na serikali, hayo mafuta hayazidi 20k
Hao jamaa wanapenda KITONGA sana.
Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.
Hizi aibu kwa jeshi hili zimepita kiasi, Ila kadiri wananchi tunavyoondoa hofu ndivyo ambavyo wao wanapoteza nguvu yao.
Nam
Namuonea Huruma huyo Bodaboda, hizi sio nyakati za kubishana na serikali, hayo mafuta hayazidi 20k
Polisi wengi hawa wa vyeo vya chini ni wababaishaji kwenye issue za pesa.
Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.
Hizi aibu kwa jeshi hili zimepita kiasi, Ila kadiri wananchi tunavyoondoa hofu ndivyo ambavyo wao wanapoteza nguvu yao.
Halafu Heche angekuwa rais, ha ha ha.😂😂....Samia na genge lake angekuwa jela au amekimbia uhamishoni.