rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
mdaiwa hapo ni polisi. polisi alitaka kumnyang'anya jamaa pikipiki aende nayo kituoni, ndiyo maana akamkabizi mlinzi anayamjua.Pikipiki ni ya nani mbona inakabidhiwa kwa mlinzi? Pia anaedaiwa hela hapo ni nani mbona bodaboda ni kama ndio anakunjwa shati, poti kama ndio mdaiwa mbona haondoki eneo Hilo ili yeye ndio awe anazuiwa!? Au mi ndio sijaelewa
Kabisa. Kama ana ukimwi je?Ikibainika amemngata dereva boda kidole huyo ni wa kumchukulia hatua.
Wanaendelea kuwajifunza, kuchukua kumbukumbu za matukio na kujaza hasira.Sijui kwanini Bodaboda wa hicho kijiwe hawajachoma moto hiyo takataka ๐ฎ