Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA)
(1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio kumtafutia mtu uhasama na watu wa jamii anamoishi?? Vp kama watoto wake (Mgambo) wakidhuriwa??
(2) Mgambo anafanya kazi miaka zaidi ya 5 bila malipo, nafasi za kazi ya Polisi zikitangazwa wanachukuliwa vijana wapya lakini mgambo hawapewi hizo fursa.
(3) Polisi akizeeka au kustaafu, anapewa kiinua mgongo pamoja na pension ya kila mwisho wa mwezi (hata kama ni ndogo), lakini mgambo hapewi chochote kitu ilhali nguvu zinakuwa zimemuisha, misuli imechoka na shughuli ya kukamata vijana wavuta bangi hana tena.
POLISI KUWATUMIA ASKARI MGAMBO KATIKA KAZI ZAO NDANI YA ENEO WANAMOISHI, NI KUWATAFUTIA UHASAMA NA JAMII WALIOMO.
NB: Polisi Tunduma mlinidhalilisha sana mbele ya kadamnasi mwaka 2014/2015. Ipo siku tu Mungu atawalipeni.
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe
======